Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa huu una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania.
SOMA PIA
Idadi ya Watu
Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Tabora una jumla ya watu 3,391,679. Idadi hii inajumuisha wanaume 1,661,171 na wanawake 1,730,508, na mkoa huu una jumla ya wilaya 8.
Mkoa wa Tabora una jumla ya Majimbo 8 ya kiuchaguzi yaliyogawanyika katika wilaya 8, Majimbo hayo ni:
- Nzega Mjini
- Bukene
- Nzega Vijijini
- Igunga
- Manonga
- Igalula
- Tabora Kaskazini
- Urambo
- Sikonge
- Tabora Mjini
- Kaliua
- Ulyankulu
Uchaguzi Mkuu 2020, CCM ilishinda nafasi zote za Ubunge ndani ya Mkoa wa Tabora, Katika maeneo mengi, wagombea wa CCM walipita bila kupingwa kutokana na vyama vya upinzani kutokidhi vigezo kwa sababu zilizotolewa kuwa walikosea kujaza fomu au kuchelewa kurejesha fomu na wengine kujiondoa kwa sababu ya kile walichoeleza kuwa ni mazingira yasiyo ya haki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kwa upande wa Nafasi ya Urais CCM ilishinda nafasi hiyo kupitia Mgombe wake Hayati John Pombe Magufuli ambaye alishika nafasi hiyo mpaka mwaka 2021 ambapo Alifariki Dunia na kisha nafasi ya Urais kushikwa na aliyekuwa Makamu, Rais Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia:
Januari
- CHADEMA Sikonge: Watakaoihujumu "No reforms No election" hawatavumiliwa
- Pre GE2025 - Tabora: Wananchi Wampongeza Dkt. Samia, Dkt. Mwinyi na Dkt. Nchimbi kwa Kugombea Urais 2025
- Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) uliofikia asilimia 99
- Pre GE2025 - Baada ya Samia Legal Aid sasa wameanzisha "Samia Teachers Clinic" kwa ajili ya maslahi ya walimu. Walimu msidanganyike!
- Pre GE2025 - Gulamali: Jimbo letu tumeondoa ziro, sasa hivi tuna one. Asante kwa Rais Samia
- Pre GE2025 - Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega
- Mbunge Gulamali apendekeza moja Shule Nzega Vijijini ipewe jina la Dkt. Kigwangala
- Kamati ya Bunge yaridhishwa na ujenzi wa bwawa Uyui; Wizara ya maji yapongezwa
- Pre GE2025 - Tabora: Wananchi watofautiana juu ya msimamo wa CHADEMA kutishia kuzuia uchaguzi mkuu
- Pre GE2025 - Viongozi wa CHADEMA Tabora: G55 ni wahuni na wasaliti wanakiuka msimamo na maazimio yaliyopitishwa kwenye mikutano halali ya chama
- Wasira: Kuna watu wameshindwa siasa wanataka fujo
- Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira: CCM imeanza kuwabaini wanaotumia pesa ili wachaguliwe
- Pre GE2025 - Stephen Wasira akutana na Kadinali Protase Rugambwa Tabora
- Wasira apongeza kasi ya utekelezaji miradi ya maendeleo Tabora
- Wassira: Kazi yetu kuanzia sasa mpaka Oktoba ni kukamata dola kwa nguvu ya wananchi na sio jeshi
- Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira: CCM haina chuki wala visasi, inaamini katika maridhiano
- Sikonge, Tabora: Aliyekuwa muweka hazina CHADEMA ahamia CCM
- Pre GE2025 - Stephen Wassira: Wanaosema hatujafanya lolote wanaota ndoto za mchana, wajiepushe na laana
- Kamanda Ulrich Matei azitaka kampuni za Ulinzi kushirikiana na Polisi Katika kuimarisha amani na utulivu Uchaguzi Mkuu
- Pre GE2025 - Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Mkahakiki taarifa zenu, daftari lipo wazi
- Pre GE2025 - Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Ni kosa Kisheria kumiliki Kadi zaidi ya moja ya Mpiga Kura
- Pre GE2025 - Kailima: Viongozi wa Vyama tumieni ushawishi wenu kuwahamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha
- Pre GE2025 - CHADEMA yaendelea kupukutika, Wanachama wengine zaidi ya 100 wajivua Tabora
- Pre GE2025 - Dr Kigwangala achangiwa fedha za fomu ya Ubunge na wapiga Kura wake aweka wazi risiti kutoka Wakala
- Pre GE2025 - Heche amjibu RPC Tabora: Acha upotoshaji, huyo aliomba radhi kwa niaba ya mtoto wa dada yake ambaye alitushambulia
- Pre GE2025 - Mrema: Msichukulie Mzaha Sera ya Lishe kwa Wote
- Pre GE2025 - NW Deus Sangu: TAKUKURU Imejipanga Vyema Kudhibiti Rushwa Uchaguzi Mkuu
- Pre GE2025 - Mkuwe Isale (Mamy Baby) achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora
- Pre GE2025 - Ngassa autaka tena bunge jimbo la Igunga
- Pre GE2025 - Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora
- Pre GE2025 - Nicholaus Ngassa autaka tena ubunge Igunga
- Pre GE2025 - Peter Andrea Mashili atangaza na kuchukua fomu kugombea ubunge Nzega Mjini, aahidi kumg’oa Mbunge Hussein Bashe alieongoza kwa miaka 10
- Daud Ngassa, ajitosa mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo
- Adamson Mwakasaka: Tabora imeitwa Toronto kwa sababu yangu
- Emmanuel Mwakasaka kuwania tena ubunge jimbo la Tabora Mjini
- Injinia Germano Ngusa atinga na baiskeli kuchukua fomu ya ubunge Jimbo la Nzega Vijijini
- Shaban Mrutu achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini
- Hawa Mwaifunga arudisha fomu ya ubunge jimbo la Tabora mjini, afunguka sababu za kuhamia CCM
- Zitto Kabwe: Watanzania Milioni 26 wanaishi katika dimbwi la umasikini kisha Viongozi wanasifia mabilioni ya Rais
- Zitto Kabwe: Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa
- Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Igunga-Tabora
- Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Nzega-Tabora
- Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Kaliua-Tabora
- Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Urambo - Tabora
- Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Sikonge-Tabora
- Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Tabora mjini
- Majina ya wagombea udiwani kata za wilaya ya Uyui Tabora
- Mwenyekiti CCM Tabora atishia kuwafukuza wati nia ubunge, wanaopinga maamuzi ya vikao halali kupendekeza majina
- 1. GE2025 - Mgombea Urais NRA: Tutatunga sheria ngumu dhidi ya ushoga
- 2. GE2025 - CHADEMA Tabora: Pamoja na maumivu yote, kesho yetu ni bora
- Bashe amuomba Rais Samia Nzega iwe mkoa
- Rais Samia: Rushwa imepungua nchini
- Samia kujenga kituo kikubwa cha mabasi na soko la kisasa Igunga
- Wanafunzi wa Idete Sekondari wawaomba Vijana wamchague Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu
- Mabango ya Kigwangalla, ya kumnadi rais Samia yapigwa stop Nzega Tabora
- Bashe: Serikali kujenga kiwanda kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora
- Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
- Lyata: Uchaguzi umepoa, No reforms No election Imeeleweka
- Lyata: Uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutarajie Tanzania iliyogawika
- Hawa Mwaifunga: Mkinipa kura nitaenda tonge kwa nyama kata ya tambukareli ipate zahanati
- Mgombea udiwani Isevya: Mwaifunga alikuwa mbunge wa low profile sasa anaibuka juu
- Mwaifunga aahidi zahanati na barabara kwa wananchi wa kata ya Tumbi
- Hawa Mwaifunga: CCM ndio chama chenye hela na ndicho chenye ilani na bajeti, kichagueni mpate maendeleo
- Kibonde: Serikali yangu itanunua ndege sabini (70)aina ya Bombardier
- Mgombea Mwenza NCCR-Mageuzi: Wakulima Watapanga Bei ya Mazao Yao Bila Kuwepo Bei Elekezi
- Tabora: Mgombea udiwani awaahidi wananchi kupata maji bure kwa miezi mitatu
- Mgombea ubunge Tabora Mjini akemea ushoga na ulevi kwa vijana
- Kuna huyu Kitumbo amewaahidi wananchi wa Cheyo Tabora kutatua changamoto za barabara