Tabora kuweni wastaarabu

Tabora kuweni wastaarabu

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,551
Haipiti miezi2 bila kuuana kwa mapanga,kuchoma nyumba,mikuki n.k kwann nyinyi tu wanyamwezi? ama kwann mnauana ka kuku?
 
Huko si ndiko walikonyweshwa maji ya bendera...bado wanatumia za jadi,arusha na mwanza ukuileta zako kuna vijitu vinakaa kiunoni,alakini hata hao wanyamwezi watakua wana vijua,ni kile kidubwana yule msomali wenu wa kinyamwezi alipanda nacho jukwaani kumnadi KAFUMU kule tabora alafu matokeo yake jamaa akapokwa ubunge,duh !...ushamba mzigo kweli.
 
Back
Top Bottom