Tabora hoteli gani nzuri ya five star?

Tabora hoteli gani nzuri ya five star?

Drama queen

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
157
Reaction score
289
Nakuja Tabora kikazi hoteli gani nzuri 5* sehemu nzuri za kula na clubs nzuri
zote ziwe na hadhi please sio za elfu 30 au 15.

Thank you
 
Wilca au Mwafrika na Kiwoso tabora hotel ya hadhi ya 5 star hamna mji wa zamani lkn unamaendeleo ya duni sana
 
Nakuja Tabora kikazi hoteli gani nzuri 5* sehemu nzuri za kula na clubs nzuri
zote ziwe na hadhi please sio za elfu 30 au 15.

Thank you

Labda umtafute Ismail Aden Rage anajua vizuri kwa sababu yeye ndie billionea wa Tabora!
 
Olion ndo ka hotel kidoogo kenye maana kwa Tabora, twingine ni tu lodge
 
Olion ndo ka hotel kidoogo kenye maana kwa Tabora, twingine ni tu lodge, ama ukikosa kabisa karibu ulale kwangu
 
Nakuja Tabora kikazi hoteli gani nzuri 5* sehemu nzuri za kula na clubs nzuri
zote ziwe na hadhi please sio za elfu 30 au 15.

Thank you

Weweee Hotel za nyota tano kwa bara zipo Dar na Arusha tuu kidogo na Mwanza, kwingine kote ni lodge, labda uende mbugani pia zipo kwa ajir ya watalii
 
Back
Top Bottom