Tablet

Tablet

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
13,999
Nauza tablet yangu 7 inch,toka New York USA,nimetumia just 1 week sasa.Nataka kuuza kwa laki 4 tu,au kubadilishana na mtu mwenye tablet inayosupport SIM Card au Ipad. Iko kwenye box na iko kwenye hali nzuri sana.
 
Nauza tablet yangu 7 inch,toka New York USA,nimetumia just 1 week sasa.Nataka kuuza kwa laki 4 tu,au kubadilishana na mtu mwenye tablet inayosupport SIM Card au Ipad. Iko kwenye box na iko kwenye hali nzuri sana.Nipigie 0787140432 niko Sakina,Arusha.

Tablet gani na specs zake zikoje? kutoka New York siyo tija!
 
OS:Android CPU:arm Cortex-A8 1GHz-1.5GHz RAM:512M-1GB(Optional) ROM Nand Flash 4GB/8GB/16GB(Optional) 2D/3D AMD graphic acceleration, full support LCD:7 HP display Touch Panel:Capacitive/Resistance Touch Panel (Optional) Graphic: Open GL,es2.0(AMD Z340 and Open VG1.1(AMD Z160)@27M Tri/sec WIFI wireless:Support 802.11b/g/n standard,highest transmission get to 300Mbps,support local WAPI wireless protocol standard 3G:Built 3G Module (Optional) WCDMA/HSDPA,support calling,message,Wifi and hoc USB:High speed 2.0 can be connected to computer to copy files. Ukitaka more specifications let me know.!
 
Nauza tablet yangu 7 inch,toka New York USA,nimetumia just 1 week sasa.Nataka kuuza kwa laki 4 tu,au kubadilishana na mtu mwenye tablet inayosupport SIM Card au Ipad. Iko kwenye box na iko kwenye hali nzuri sana.Nipigie 0787140432 niko Sakina,Arusha.
Aisee hizi mbwembwe ni za kizamani, kuna rafiki yangu aliniletea Tablet kutoka Washington DC Marekani, lakini ni ya Android ya kichina na hakuna sehemu ya kuweka line na router madukani si chini ya 150,000/=

Nimeamuwa nimpe mwanangu tu achezee game na kupiga picha na kujifunza kutumia computer.
 
Duh kwa hiyo ulishindwa kununua wireless router ya 150,000/= pole na kuamua kumpa mwanao achezee,lakini najua kwa kuwa siyo kipaumbele chako na ilikuwa ni ZAWADI (Just free GIFT) ila ungekuwa umeenda mwenyewe dukani ungejua nini cha kufanya..!!
 
Back
Top Bottom