M Mwembeni Member Joined Apr 21, 2011 Posts 51 Reaction score 16 Apr 18, 2013 #1 Wanabodi nisaidie, tablet yangu imegoma kuwaka nimejaribu kuicharge nikifikiri charge imeisha lakini bado haiwaki Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wanabodi nisaidie, tablet yangu imegoma kuwaka nimejaribu kuicharge nikifikiri charge imeisha lakini bado haiwaki Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,331 Reaction score 9,291 Apr 18, 2013 #2 Ni tablet aina gani?je ina charge (yaani ina moto)?kama ni Samsung angalia chaja yake hasa cable kule mbele kwenye kitufe cha usb huwa nyaya zinaachana.Kama chaja ni nzima basi nitakuwa sina la ziada
Ni tablet aina gani?je ina charge (yaani ina moto)?kama ni Samsung angalia chaja yake hasa cable kule mbele kwenye kitufe cha usb huwa nyaya zinaachana.Kama chaja ni nzima basi nitakuwa sina la ziada
MAISAKI Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9 Reaction score 6 Apr 18, 2013 #3 Inawezekana imewaka but screen ina giza pole sana.haijanyeshewa na mvua lakin?
M Mwembeni Member Joined Apr 21, 2011 Posts 51 Reaction score 16 Apr 19, 2013 Thread starter #4 MAISAKI said: Inawezekana imewaka but screen ina giza pole sana.haijanyeshewa na mvua lakin? Click to expand... ni kweli imewaka lakini screen ina giza, haijanyeshewa na mvua wala sijaidondosha
MAISAKI said: Inawezekana imewaka but screen ina giza pole sana.haijanyeshewa na mvua lakin? Click to expand... ni kweli imewaka lakini screen ina giza, haijanyeshewa na mvua wala sijaidondosha