Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
toshiba tablet GB 14 IKO katika hali nzuri napenda niwe muwazi niliitoa pin yake ya kuwashia ivyo lazima utumie kitu kuwashi kama kalam au ufunguo...inakaa na chaji masaa nane ukiwa unaangalia muvi,inapiga picha na kuchukua muvi,ina kijisehemu cha kuwekea flash,ina internet ya wireless...wahi sasa BEI NI MAELEWANO ni inbox kama unaitaji