Tablet ya Lenovo msaada tafadhali.

Tablet ya Lenovo msaada tafadhali.

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Tablet ya lenovo nashindwa namna ya kuseti internet na haisomi sim card nikienda ktk network setting naona VPN , GPRS na wireless nashindwa la kufanya ili nipate mawasiliano...kuna mtu kaniletea kutoka china.
 
Kuna sehemu ya ku-tick tu hamna option nyingine...na VPN naingiza details gani mkuu?

Vpn achana nayo, hio gprs ndio mobile data hakikisha umejiunga bundle na umeitick.

Kama still bado tafuta maeneo hayo hayo kama kuna acess point, mobile network na vifananiavyo
 
Vpn achana nayo, hio gprs ndio mobile data hakikisha umejiunga bundle na umeitick.

Kama still bado tafuta maeneo hayo hayo kama kuna acess point, mobile network na vifananiavyo

Asante sana mkuu ngoja nofanye hivyo
 
Back
Top Bottom