Tablet used inahitajika kwa laki 3

Tablet used inahitajika kwa laki 3

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari,nna laki 3 nahitaji tablet used inayoingiza line (isiwe ya kichina).Kwa aliyenayeuza aniPM
 
kuna ipad mini..white 16gb ..kwa jiwe 3.5
0787 408180
 
Natafuta s4 ya ukweli ambayo haijatumika sana kwa laki 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom