Tablet nauza fasta nina shida na ela balaa

Tablet nauza fasta nina shida na ela balaa

Inatumika kama simu ama ni data tu? Kuna mtu anaitaka kama ni multipurpose. Nakupa details za muhitaji huko faraghani pm
 
Samrich; mimi nitakupa hizo Tshs 300,000/=; lakini ebu ipige picha uibandike hapa niione, kwani Biashara ni Matangazo Bwana!!!!
 
Samrich; mimi nitakupa hizo Tshs 300,000/=; lakini ebu ipige picha uibandike hapa niione, kwani Biashara ni Matangazo Bwana!!!!
Picha hataweka maana -ina scratch kibao, imepauka na ameiangusha mara tatu
 
Picha hataweka maana -ina scratch kibao, imepauka na ameiangusha mara tatu

Duuuh, machale yanaanza kunicheza!!! Samrichi funguka utiririke, ni kweli kwamba tablet ina scratch kibao, imepauka na umeiangusha mara tatu???

jaman ngoja nafanya taratibu niweke picha hapa natmia cmu,wabongo siasa nyng subir uone mwenyewe
 
jaman ngoja nafanya taratibu niweke picha hapa natmia cmu,wabongo siasa nyng subir uone mwenyewe

Kwani si mutaonana,hapo ndipo atakapoona kama iko sawa au ina mipasuko, kama ni mnunuzi wa ukweli atakupigia simu muonane ili au TBS mzigo,na ndivyo tufanyavyo.Ningekuwa bongo ningekupa hiyo hela,ili urudishe baadaye
 
Umesema inakamera... kwa hiyo tumia kamera ya hiyo Tablet kupiga picha tablet hiyo na kisha kupost hum JF

...... How; .. nenda kwenye kioo Kisha ipige picha, mi nimeshaquote laki 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom