Table manners

Pia wengine wakila hawafungi midomo wakila utadhani nguruwe anakula miwa.,halafu hujichokonyoa na vijiti akitoa vipande vya chakula mdomoni na kuviangalia.Pia ukiwa mezani unatakiwa usiongee sana wengine akiona msosi mezani inakuwa tabu maneno yanamtoka na mimate lundo,unapokula kula kimya kimya funga domo na nenda speed ya 10 badala ya speed ya 80.
 
Kuna kipindi tulikuwa tunakwenda mahali, acha tupewe semena ya table maners, aisee kidogo nighairi maana huo mlolongo! Lkn taratibu nikazoea.
Hawa wazungu wanatuletea balaa tu, maana hata hauli kwa amani unaogopa kukosea.


Eti unaogopa kukosea...lol

Lakini uzuri ndo huu, ukizoea inakuwa rahisi.
 


Eeuwwww!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…