usilalamikie chakula mbele ya mpishi..mfano chakula hakijaiva, chakula kina chumvi, chakula kina mafuta mengi n.k kufanya hivi kutamkatisha tamaa mpishi pengine akashindwa kula..
15. Kama utakuwa ukitumia uma na kisu kwa wakati mmoja uma hushikwa na mkono wa kushoto na kisu kiwe mkono wa kulia
16. Angalau mda wa dak 25-30 upite katika kutofautisha aina za vyakula ambavyo huliwa/kunywa vikiwa aidha vya moto au baridi.