kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 Jul 28, 2013 #1 Nani atapigwa jiwe? Attachments nani.jpg 22.5 KB · Views: 382
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 28, 2013 #2 Za mwii 40 na kichwa namaliza hapo hapo
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,272 Reaction score 43,176 Aug 20, 2013 #3 Mambo ya mawe yashapitwa na wakati, siku hizi ni mwendo wa Tindikali tu.
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Aug 21, 2013 #4 kingfish said: Nani atapigwa jiwe? Click to expand... Yeye mwenyewe bado hajaamuwa!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Aug 21, 2013 #5 Mdada lazima atapigwa
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,383 Aug 21, 2013 #6 Anasubiri ndege ashuke ampige jiwe la kichwa jamaa (ex wake) ili asingizie alikuwa anaua ndege kumbe nia yake ni kuua jamaa ili wakose wote.
Anasubiri ndege ashuke ampige jiwe la kichwa jamaa (ex wake) ili asingizie alikuwa anaua ndege kumbe nia yake ni kuua jamaa ili wakose wote.
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,383 Aug 21, 2013 #7 ALEYN said: Mambo ya mawe yashapitwa na wakati, siku hizi ni mwendo wa Tindikali tu. Click to expand... Tindikali kwa wenzetu mpaka upate ruhusa ya ununuzi ila hapa Bongo mwendo mdundo tu, kwani hata mtoto anaenda shule na tindikali. Mwananyamala sokoni wanauza tindikali kwa mafungu/viroba kwa ajili ya kwenda navyo uwanjani kuangalia mechi.
ALEYN said: Mambo ya mawe yashapitwa na wakati, siku hizi ni mwendo wa Tindikali tu. Click to expand... Tindikali kwa wenzetu mpaka upate ruhusa ya ununuzi ila hapa Bongo mwendo mdundo tu, kwani hata mtoto anaenda shule na tindikali. Mwananyamala sokoni wanauza tindikali kwa mafungu/viroba kwa ajili ya kwenda navyo uwanjani kuangalia mechi.
Moneyowner JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,422 Reaction score 1,254 Aug 21, 2013 #8 yule demu atakipata