Tabiri vichwa vya habari vya magazeri ya kesho!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,702
45,044
Kufuatia matukio flani yaliyojiri leo pale Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye mazishi ya Mzee Mengi, hebu tabiri magazeti ya kesho yatakuwa na heading gani?
Twende kazi
 
Daaa 😂 😂...!
20190509_195849.jpg
 
bashite avaa kisanii msibani,ashikwa pabaya habari kamili ukurasa wa 4
 
tanzania daima: bashite amvimbia shoo

Mwananchi: viongozi wa kiroho wawafunda viongozi wa nchi.

uhuru: askofu shon, mbowe wachanganya siasa msibani.

tanzanite: askofu shoo si mtanzania, achunguzwe!

mwanasport: African lyion yashuka daraja!
Hahahahaaaa umetisha
 
Agiza PEPSI popote ulipo
 
Umekosea mwananchi ya kesho ni hapa

Back
Top Bottom