Liverpool uhakika wake ni kucheza UEFA siyo ubingwa kwa sasaUhakika ni Liverpool kuwa bingwa EPL tena.
Huko kwingine hapaeleweki sana, ingawa nahisi kuna timu tatu ndogo zitafanya maajabu.
Mchungulie chini uko anataka kushuka darajaLeicester?
Yes, niliwasahau, wanatakiwa kuchukua nafasi ya Leeds, then ondoa Sheffield Utd.Everton???