Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,672
Chelkenge hii hii?Chelsea
Manchester City
Arsenal
Liverpool
Chelkenge hii hii?Chelsea
Manchester City
Arsenal
Liverpool
🤣🤣🤣Kuna Watu wanataja tu, sasa mtu unamuweka chelsea kwenye top four, serious kabisa!!!
Chelsea is not in the title race 😅😅Kuna Watu wanataja tu, sasa mtu unamuweka chelsea kwenye top four, serious kabisa!!!
Bado kuna swali?Chelkenge hii hii?
wenzako utabiri waliutoa hata kabla ligi haijaanza, wewe umesubiri upepo unakoelekea1. THE BLUES 💙💙💙💙
2. YOU WILL NEVER WALK ALONE
3. THE GUNNERS
4. THE CITIZEN OF MANCHESTER
Hiyo inaitwa bett livewenzako utabiri waliutoa hata kabla ligi haijaanza, wewe umesubiri upepo unakoelekea
Hiyo inaitwa bettwenzako utabiri waliutoa hata kabla ligi haijaanza, wewe umesubiri upepo unakoelekea
One mid season wonder...Bado kuna swali?
Vichekesho hivi vinapatikana wapi?Arsenal bingwa
nan alibahatika kupatia angalau kidogo kama mimiliverpool
man city
arsenal
chelsea
Sio mbaya nimepatia bingwa na top three Newcastle ndo kaniangusha ningepatia top four.. Jana anageshinda nilikua napatia top four yote ...Liverpool
Man city
Arsenal
Newcastle utd

Na kawepoKuna Watu wanataja tu, sasa mtu unamuweka chelsea kwenye top four, serious kabisa!!!



Ulitisha kuliko nabii.1. Liverpool
2. Arsenal
3. Mancity
4. Man utd
Man u?!Ulitisha kuliko nabii.
Umepiga mulemule kasoro Man utd.