Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Kwa kifupi zimebaki timu nane ili tumjue bingwa mpya wa Kombe la Dunia baada ya Spain kutupwa
nje ya mashindano haya....Nani atambeba mwali huko Brazil???
N:B CHAGUA TIMU MOJA TU
Binafsi nafasi ya Ubingwa wa dunia nawapa...........COLOMBIA!!
MATOKEO: Mpaka leo 03/07/2014 German wameongoza kwa kutajwa sana.