RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 52,633
- 110,896
Kuna tabia zinanikera sana hasa kwa madereva wa DSM...na hapa sizungumzii daladala nazungumzia madereva wa gari zote ndogo kuanzia BABY WALKERS mpaka VX V8......
1.kuwasha HAZARD [double indicator] wanapoenda moja kwa moja[straight] kwenye crossroads
2.kupiga honi hovyo haswa kwenye traffic lights zikiwaka tu mtu yuko gari ya sita anapiga honi!!!
3.wakati unasubiri magari ili ukate kulia kwenye junction yeye anakuona hujui ufanyalo na umelala pale basi atakuja na kukaa kulia kwako na kutaka kupita yeye kwanza!!!
4.kuziba junction wakati unajua kabisa foleni upande wako haiendi!!!
5.kutokupisha wenzio kuingia barabara kuu hasa kwenye foleni kali
6. kuwasha hovyo taa kubwa ili upishwe upite wakati ungeweza kusubiri gari moja ipite na wewe kwenda bila kupishwa kwasababu hamna foleni!!!
7.kuendesha huku wanaongea na simu na kuenda taratibu sana na kuyumba barabarani!!!
8.kutowasha indicator kabisa!!!yaani unasubiri kwenye kona upite mtu hawashi indicator hadi anafika kwenye kona ndio anawasha!!!!
9.kuwasha FOG LIGHTS wakati DAR hakuna fog!!!! jamani hizo sio mapambo ni taa za ukungu na ni kali zinaumiza macho kama hamna ukungu!!!!!!
10.Kutojali watumiaji wengine wa barabara hasa watembea kwa miguu na waendesha baiskeli!!! muwe na heshima kwa hawa watumiaji wengine wa barabara sio yenu peke eenu!!!
11.Kusahau indicator na kuacha inawaka tangu nyumbani hadi mjini!!! ukifikiri mtu huyu anakata kona uingie UMEGONGWA!!!!
na tabia nyinginezo ambazo nimezisahau mnaweza kuziweka hapa ili tuwekane sawa....barabarani siku hizi kama uwanja wa vita full stress!!!