Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Wanakugonga nini,mbona umekuja kwa jazba? Mimi nimesoma nao na kuishi nao na kula bata nao,ndio maana nikawaongelea. Wewe uliyeolewa na kutekwa na hao wachafu unafanya nini?
Wanakugonga nini,mbona umekuja kwa jazba? Mimi nimesoma nao na kuishi nao na kula bata nao,ndio maana nikawaongelea. Wewe uliyeolewa na kutekwa na hao wachafu unafanya nini?
Kwa uelewa wangu wazungu wote sio sawa wanatofautiana kama nchi zetu lakini wana uelewa zaidi yetu na hiyo inatokana na malezi ya tangu utotoni kwa mfano mtoto asiongee na strangers au kupokea zawadi yoyote na pia kuingiliana kwa maisha yaani kila mtu kivyake. Hao ni British lakini wanapenda sana gossip (udaku) kuhusu kunuka kwao hilo kila binadamu wana harufu zao kutokana na vyakula vyao, hata mhindi utasema ana harufu lakini nae anakushangaa wewe, wana tabia zingine kama niseme labda uchoyo maana hata mkiingia hotel kila MTU alipe chake hakuna kulipiana, hao ni western Europeans tofauti na eastern ambao wao wanaishi kama sisi kwa kusaidiana na kutembeleana hata kama ni rafiki tu, hiyo tabia pia wanayo wataliano yaani kuishi pia na wazazi wao hata wakiwa wakubwa na kazi zao bado wanawajali wazazi, wazungu kwa tabia hizo alizozitaja siziafiki nyingi kwani wengi wanaokuja huku kama volunteers ni waliomaliza shule na kuja kujionea maisha au kutoa msaada wa aina yoyote kwa hiyo wanakuwa na matumizi ya kukidhi mda wapo hapa na kuishi kama sisi hawawezi kuishi hotel kubwa, wa Irish pia ni wazuri wanakuja kukugongea na kukuomba maziwa au chochote kile, watakusalimia na msaada wanao, naona alieleta mada ameona baadhi ya wazungu aidha anafanya kazi baa au hotel Porter maana ameona maisha yao ya kunya tu na sio maisha kwa ujumla, hebu angalia anaposema wanaingia toilet bila viatu lakini haoni ndugu yake alieingia chooni na viatu halafu baada ya kurudi sitting room akapandisha miguu na viatu juu ya sofa akiona ni uzungu. Maisha ni malezi sio kuiga nani amefanya nini
walio wengi hasa kwao hawajui kusema uwongo. na akisema uwongo aukimkazia machao anasema I am sorry.
wengi wao wakiwa kwao akichepuka huja nyumbani na kuwambia mwenzi wake kuwa kahcepuka na ilikuwa just sex, sio kuoenda.
je si akina maganga tuanyawza hayo.
Mkuu hapo kusema kwamba wairish wako poa ckubaliani na ww. Wengi wao ni wanafki na wabinafsi.
Basi kila mtu atajifanya anawajua wazungu
Sifa za Kijinga!!Volunteers wako cheap sana. Wanaishiwaga hadi kuwapelekea kuishi guest za 5000 na kula kwenye vigenge vya mama ntilie,fly catcher huwa wanawachuna na kuwakimbia Pindi wanapoishiwa. Nimewagonga sana hawa viumbe hadi wengine tukakasirikiana kwa kuwachanganya. Ila sijawahi kuwa approach zaidi ya kuwashikashika pindi wamepiga maji na kuwachapa nao.
Onyesha niwapi nimekiandika hicho ulichokisema?
Irish ni vibaka wengi mno.
Na wengi wao ni gypsies!
Sijui km unaelewa maana yake.
Wanakunya ovyo km wakazi wa Gongo la mboto kina Remote
The point is - 1. Huwa hawachambi kwa maji wala kutumia lesso katika kufuta makamasi!
Nimeishi na hawa watu kwa muda mrefu sehemu tofauti tofauti hapa Tanzania.
1. Huwa hawachambi kwa maji wala kutumia lesso katika kufuta makamasi.
2. Asilimia kubwa huwa wanapenda wanaume marasta na wasiokuwa na na future na maisha ya mbele.
3. Wanapenda kuingia msalani peku kwenye hotel/hostel hata kama ni vya kushare.
3. Wengi wao huwa hawatumii tooth pick baada ya kula.
4. Wengi wao hawana dini,hasahasa vijana wa kisasa.
5. Wakiwa nchini huwa wanapenda kuvaa ovyo,na wanaweza kuvaa nguo za ndani bila kufua kwa muda mrefu tofauti na wakiwa nchi zao.
6. Asilimia kubwa wamechora tatoo,wanawake tatoo zao ni za vipepeo.
7 Hawawezi kucheza mziki zaidi ya kurusha rusha mikono na kutokwa na jasho.
Harufu za ngozi zao huwa zina harufu mbaya na ni moja kama ilivyo kwa wamasai. Na ni warahisi kuwachukua kimapenzi wakiwa wameshakunywa,hasa hasa wale mavolunteer na wanafunzi.
Na mnaweza mkaendelea na nyingine...
Somo linakuwa gumu kuelewa?Uliandika yafuatayo:.
Somo linakuwa gumu kuelewa?
Kwenye hicho nilichokiandika nataka unioneshe neno "siwakubali"
Unaweza kutomwamini mtu lakini ukamkubali? Au unatofautishaje hayo maneno mawili?
mkuu naona hapa unachanganya mambo.
Naomba kujua maana ya neno "kukubali" kama unavyolitumia katika sentinsi zako toka mwanzo.
Maana haueleweki unaongelea nini hapa umekomalia kuwakubali kuwakubali tu elezea sasa nijue hiyo kuwakubali inamaana gani.
Nachowapendea hawa wazungu hasa wa scandinavia kitu cha kwanza mtoto akiianza shule anafundishwa ukweli na uaminifu. Walikuwa rough sana karne zilizopita na hali duni ya kimaisha ila walijifunza wakaamua kubadilika. Je unaweza amini Ethiopia iliisaidia Norway msaada wa chakula ngano miaka ya 60. Sasa piga picha mwenyewe
Hizo movies bwana.....