Tabia za wazungu

Hapa utakuta mtu ana miaka zaidi ya 50 anaishi nyumba ya baba yake ,huku akiponda raha kwa kutumia umaarufu wa wazazi wake.
 

Najua wazungu wana sifa mbovu sana lakini na sisi waafrika wanaoweza kujirekebisha tujhrekebishe tupunguzeni ulimbukeni kwa muafrika daima akipata ------ hulia mbwata, hahahah
 
wazungu wengi papuchi zao sio tamu kama za wadada wa kiafrika....
 
Ni safi kila siku tunajadili ya mhindi mchina mwaarabu sasa tuko kwa mdhungu na tukimaliza utuletee na za kwetu yaani za kiswahili ili tupime makabila yepi yapo kwenye maisha bora au wako super kwa maisha yao sawa mkuu lakini samahani kama lipo kosahapo maana elimu inazidiana
 
Kila mtu ana tabia yake awe mzungu au mwafrika. Hizo tabia ulizotaja si kwa wazungu wote ingawa pia kwa waafrika utazikuta.
 
Najua wazungu wana sifa mbovu sana lakini na sisi waafrika wanaoweza kujirekebisha tujhrekebishe tupunguzeni ulimbukeni kwa muafrika daima akipata ------ hulia mbwata, hahahah

Ubinadamu kazi, mara zote huwa nikitaka kumjibu mtu napima kwanza namna anayoweza kupambanua kile nilichokieleza.

Kwa mantiki hiyo unakosa sifa hata moja ya kwendelea kujadiliana na wewe, hapa lengo langu halikuwa kujua nani ana mapungufu nani hana maana bado wote utakuta hakuna alie mkamilifu.

Ndiyo maana ya kukuandikia haya;

Sifa kuu ya binadamu ni kukosa ukamilifu ndiyo maana akaitwa binadamu wakubali waafrika wenzako japo kwa hayo mapungufu yao maana ukiyajua mapungufu ya wazungu utajutia hapa hiki ulichokiandika hapa
.

Ili uweze kunielewa toa fikra mgando zako na utukufu unaowapa hao wazungu, kiache kichwa chako kiwehuru kupokea mitazamo mipya.

Usijinasibu kuwafahamu sana wazungu unajiongopea, ufahamu wako juu ya hao watu hata ukubwa wa punje ya mchanga haujafikia, yani kama ingekuwa kwenye mpangilio wa namba halafu zikaanza na 0,1-10 wewe hata kwenye sifuri usingekuwepo. Wewe unawafahamu kupitia stori za vijiweni.
 

Mbona wazungu ni binadamu na huwakubali?
 

Unapofanya nao mapenz hupiga kelele na kulia sana.
 

Unaishi Poland kaka? Natamani sana kufika Poland siku moja, lengo likiwa kutembelea makumbusho ya ilipokuwa kambi ya SOBIBOR.
 
Kwa uelewa wangu wazungu wote sio sawa wanatofautiana kama nchi zetu lakini wana uelewa zaidi yetu na hiyo inatokana na malezi ya tangu utotoni kwa mfano mtoto asiongee na strangers au kupokea zawadi yoyote na pia kuingiliana kwa maisha yaani kila mtu kivyake. Hao ni British lakini wanapenda sana gossip (udaku) kuhusu kunuka kwao hilo kila binadamu wana harufu zao kutokana na vyakula vyao, hata mhindi utasema ana harufu lakini nae anakushangaa wewe, wana tabia zingine kama niseme labda uchoyo maana hata mkiingia hotel kila MTU alipe chake hakuna kulipiana, hao ni western Europeans tofauti na eastern ambao wao wanaishi kama sisi kwa kusaidiana na kutembeleana hata kama ni rafiki tu, hiyo tabia pia wanayo wataliano yaani kuishi pia na wazazi wao hata wakiwa wakubwa na kazi zao bado wanawajali wazazi, wazungu kwa tabia hizo alizozitaja siziafiki nyingi kwani wengi wanaokuja huku kama volunteers ni waliomaliza shule na kuja kujionea maisha au kutoa msaada wa aina yoyote kwa hiyo wanakuwa na matumizi ya kukidhi mda wapo hapa na kuishi kama sisi hawawezi kuishi hotel kubwa, wa Irish pia ni wazuri wanakuja kukugongea na kukuomba maziwa au chochote kile, watakusalimia na msaada wanao, naona alieleta mada ameona baadhi ya wazungu aidha anafanya kazi baa au hotel Porter maana ameona maisha yao ya kunya tu na sio maisha kwa ujumla, hebu angalia anaposema wanaingia toilet bila viatu lakini haoni ndugu yake alieingia chooni na viatu halafu baada ya kurudi sitting room akapandisha miguu na viatu juu ya sofa akiona ni uzungu. Maisha ni malezi sio kuiga nani amefanya nini
 
The point is "wapenzi wenu mnaowashobokea ni wachafu" kuliko hata waafrika wanaotuona eti ni wachafu!!

tunawaosha bana........mi wangu hanuki sijui hao wenye kunuka wanakutana nao wapi...........
 

Wanakugonga nini,mbona umekuja kwa jazba? Mimi nimesoma nao na kuishi nao na kula bata nao,ndio maana nikawaongelea. Wewe uliyeolewa na kutekwa na hao wachafu unafanya nini?
 

Wanakugonga nini,mbona umekuja kwa jazba? Mimi nimesoma nao na kuishi nao na kula bata nao,ndio maana nikawaongelea. Wewe uliyeolewa . Na maisha ninayoyazungumzia ni wakiwepo hapa nchini Tanzania wakitoka huko kwao.
 
Wanakugonga nini,mbona umekuja kwa jazba? Mimi nimesoma nao na kuishi nao na kula bata nao,ndio maana nikawaongelea. Wewe uliyeolewa na kutekwa na hao wachafu unafanya nini?
Ndio maana umewaongelea sana mtoto wa kike wewe sasa ulikosa visa yao ukaamua kuwatukana niambie we lini ulianza kuchamba au unachambishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…