Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
- Thread starter
-
- #61
AsanteAsee kwa umri huo wa ndoa sioni tatizo la wewe kukaa nae na kumweleza.
Kanda ya ziwa tuna namna zetu za kuongea mambo haya.
Humu ndani utashangaa unapewa ishauri na mtoto mdogo mwenye umri chini ya ndoa yako.
Shule zimefungwa ujue.
Kwani kuna sehemu nimesema mnaachana, au ndoa inavunjika? soma vizuri.Hilo sio fundisho, hiyo kanuni haipo kihalisia bali zaweza kuwa ni hisia zako tu, una mtu kule india ameishi na mkewe kwa muda wa miaka 100 sasa, hizo hesabu zako zinagawanyikaje kwenye hiyo ndoa, ukiamini hizo formula zako ni hatari sana
Mbona naona kasoro ndogo sana muongee tu yaisheHabari Wadau,
Ni Imani yangu kwamba mnaendelea vema na pilika za siku kwa siku, Imedhihirika kwamba wanaume ndio huwa tunahangaika kubeba mizigo ya wenza wetu ikiwemo stress ambazo hupelekea kujipata na maradhi kama Kisukari na Presha,
Mimi ni mtanzania kiasili na ninaishi mikoa ya kanda ya ziwa, nina mke ambaye tumeishi pamoja kwa miaka ipatayo 23, tunao watoto wanne, tulivyoanza maisha huyu mwanamke alikuwa ni mwenye kutoa taarifa na kuomba ruhusa kwa mambo mengi aliyotaka kufanya ambayo yalihitaji Attention yangu, But kwa miaka ya hivi karibuni nimeanza kuona akibadili taratibu na tabia na kuanza kujifanyia mambo yake kwa namna anavyoona inafaa kwake, (Inawezekana ndio Uhuru wanaoudai wanawake), Nami ni mmoja ya watanzania waliokuwa effected na mfumo wa uendeshaji sera wa nchi hii kwa maana ya kuathirika kiuchumi, Kutokana na situation hiyo huyu mke wangu amefikia hatua anapopewa Kadi za kuchangia Harusi anachangia kama single huku akijua yeye ni mke wa mtu, ameshafanya hivyo zaidi ya mara tatu hivi, siku za nyuma wakati uchumi wangu uko vizuri mimi sikuwahi hata siku moja kuchangia kadi ya harusi single, kadi zote ambazo nimewahi kuletewa nimekuwa nichangia double kumaanisha Mr & Mrs.wa bahati mbaya sana kila anapopewa kadi huwa hasemi, anakaa kimya akpata pesa kwenye shughuli yake anaamua kuchangia kiasi kidogo ambacho huwa ni single, kifupi ni kwamba sio kwamba anakuwa hana pesa ya kuchangia double ila anaona kama anapoteza pesa yake kuchangia double, Kwangu mimi naona kama hili ni tatizo la maadili, Naomba kujua kutoka kwenu wadau, Je huyu anakuwa na sifa za kuendelea kuitwa mke wa mtu ?, na kama SIO, nini cha kufanya.
Kama mlianza maisha miaka 23 iliyopita, bila shaka amekuconsult vya kutosha kiasi na yeye sasa anaweza kufanya maamuzi bila kushauriwa.
Katika umri huu sitegemei mwanaume kunishauri kila jambo kama nilivyokuwa kwenye 20s, 30s na early 40s.
Kama nitakuwa sijajifunza miaka yote hiyo hata huyp mume inabidi anishangae. Unless nahitaji ushauri mpya, yes nitataka ushauri.
hahahaha aiseeeHabari yako ina nukta moja tuu.
Kwa sisi ambao pumzi zetu ni ndogo tunakwama.
Hapa sikupata nafasi ya kukujibu Wangari, hivi unasisitiza kwamba ni sahihi na ni haki kwa mwanamke mke wa mtu kuchangia sherehe kwa single ??!!, kweli ??!!, Kama ni wewe, hivi unapata hasara gani ukimtaarifu mwenzio kwamba, nina kadi hapa ya harusi, sasa sina pesa ya kutosha kuchangia wote yaani Double, ninataka kuchangia single ili nishiriki, Kwa kauli hiyo ya kistaarabu mtu si atakujibu tu sawa, Lakini unapopokea kadi kimya kimya unachangia single kwa kisingizio kwamba hali inaijua wewe, halafu anasubiri siku ya sherehe imefika ndio anakuambia naenda kwenye sherehe, Sioni kwa namna yeyote kama hiyo ni akili, Ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu, Wanawake wanatofautiana sana akili kichwani, wapo wengine wako very clever, daima hufikiri kabla ya kufanya jambo loloteAsante sana mdada...hvkweli mnatuonaje sisi?nimetoka sema dk 40 zizopita jaman mie sio mtoto ...hv mnaonaga nn sie kujiamlia maamuzi yetu?mbn yie hamsemag mambo yenu yote?wanaune hebu badilikeni jaman mnakera balaa.. had nikatoa kadi ya mchango 1 najua hali halisiπ