Tabia za wanawake

Tayari kashachelewa maybe mtikisiko wa kiuchumi mara nyingi ufukara hutikisa Iman ya wanawake. Sasa yy asiwe mjinga kihivyo we ukae miaka 23 na mwanamke eti upate kuingiza wivu sahivi kwa uzuri gani aliyonayo mkeo akati kashafika menopause kashakongoroka tafuta pesa watoto chuchu watoto wakali wapo kibwena kitaa. We unahangaika kama ni familia mshaijenga bhana what else unataka we chamsingi nawe chepuka ila kiakili sana na familia usijue. Hawa viumbe hawaeleweki mkuu wanatabia ya kubadilika badilika
 
Ingawa bado sijaoa naona naweza kutoa kaushauri kangu. Ninachokiona kwa mkeo ni kitu kinachowapata wanawake wengi ambao wapo ndani ya ndoa. Hata mama yangu alikuwa na tabia kama hiyo kwa marehemu baba yangu.

Unakuta baba hali haijakaa sawa kipesa anaweza mwambia mkewe (mama) afanye maarifa pale nyumbani baada ya siku chache atarudishia, mama anaweza kufanya hivyo ila atanung'unika sana. Nadhani shida kubwa huja kwasababu wakina mama hawa hujisahau kuwa wapo kwenye ndoa na kupata dharau hasa mwanaume akiyumba kiuchumi.

Fatilia kwenye familia ambazo mume anauwezo wa kuhudumia familia yake mpaka kusaza kama anaweza kupatwa na shida kama hizi! Hapana huwezi kukuta. Kosa kubwa la wanaume ni kusahau kuwa kama wewe ulirudi nyumbani na sh 5,000 mkeo akawa na sh 10,000 basi hapo tunasema jumla yapesa katika familia hii ni sh 5,000.

Ushauri,

Mambo yanayokutokea sasa ni ya kawaida sana (unless otherwise mengine uwe umeficha). Kama unaona kwa tabia hiyo itafanya ugombane na wanaowaalika kwenye sherehe zao (kitu ambacho naona hakiwezekani) basi ongea na wife mueleze ni namna gani tabia yake inaathiri mahusiano yako na majirani.

Lakini pia, angalia hiyo mialiko ya michango (kadi) isije ikawa ni kwaajili yake na mashoga zake ambao ww hata hauwafahamu and so kama utataka atoe double kwaajili ya kitchen party ili nawe uende hautaeleweka mkuu (kidding[emoji6]). All in all ni kwamba, mchukulie poa tu after all pesa ni yake na anaitafuta kwa jashi lake.
 
Asante Johng
 
Akichangia hivo ataenda pekeyake so atakuwa free
 
Akichangia hivo ataenda pekeyake so atakuwa free
Kwani huyo mwanamke kuna ufuska gani ambao anafanya mpaka akienda na mume wake atabanwa???

Wanawake wachache sana ambao wanashughuli ya kuingiza kipato na wanakuwa na Heshima na Wasikivu kwenye ndoa zao.. Wengi wao Pesa inawapa Jeuri ndo maana unakuta familia mzee anapiga Vita mwanamke wake asifanye Kazi..! Sema pia we mzee ukutr hupendi mambo ya Sherehe na mkeo akikwambia utoe ya double unakuwa mgumu... Tena ukutr mkeo ni Mmakonde kila siku shere ndo wafwaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akienda kwenye sherehe tafuta pesa nenda bar kapumzikee...usheherekee na wew agiza na mbuzi au kuku choma unavyotakaa...
 
Yaani umeishi nae kwa miaka 23 leo hii aonekane sio mke kisa tu kachangia harusi single? Haya ni maajabu kwakweli.
 
Hili fundisho nilisikia sehemu. Kuna mgawanyo wa vipindi vya kutawala kwenye ndoa kati ya mume, mke na watoto. Mume unatawala miaka 25 ya kwanza.Hapa unaweka msingi wa tawala za baadaye, miaka 25 inayofuata anatawala mama-hiki ndio kipindi mama haagi wala haombi ruhusa, akimaliza miaka yake 25, inakuja miaka 25 ya watoto. Kwahiyo wewe jamaa miaka yako 25 nahisi imeisha na sasa ni zamu ya mama. Hizi tawala mbili ,yaani ya mke na watoto matunda yake kwako itategemea wewe uliwafanyia nini ( uliwatawalaje) wakati wa utawala wako wa miaka 25. Kipindi hiki ndio jamii zinazoamini wake wengi huongeza mke na kuendelea ku enjoy kutawala bi mdogo lakini si bi mkubwa
 
Uyoo ni mkeo maadamu hujaona dalili za kucheat ongea naye alafu mm naona matatizo mengi ya ndoa ni mmoja WaPo kupuuzia tatizo linapoanza kwamba ww ulishaona mkeo kaanza iyo tabia ongeiwahi mapema kabla haijakomaa na kuwa tatizo ndani ya familia. Embu zungumza naye kma akikataa toa maamuzi ya kiume mwache achangie single ila mwambie kabisa ukichangia single hamna kwenda kwenye iyo sherehe au iyo shughuli
 
Umenifungua sana kk na mm nimeona ndoa nyingi mke na mmeo wakifika kuanzia miaka 45 hadi 55 migogoro inakuwa mingi sana kati yao maana wanaume kwa kitanzania majukumu yanakuwa mengi kipindi iki maana kma ajajenga atatak afanye juudi ajenge, watoto kusoma hasa sekondari na chuo na maradhi nayo hayako nyuma kwenye kipindi iki huku wanawake nao wakiitaji tulizo aisee ukimpata mke kichaa ichi kipindi lazima uachane naye
 
Yaani umeishi nae kwa miaka 23 leo hii aonekane sio mke kisa tu kachangia harusi single? Haya ni maajabu kwakweli.
Nikuulize swali dogo tu Zuriel, nahisi wewe ni mwanamke, Hivi ikatokea Mr wako akachangia sherehe yeyote kwa Single Card, kisha akakutaarifu kwamba kuna sherehe sehemu Fulani mimi nakwenda utajisikiaje ?, sema kweli tu, au mkuki kwa nguruwe ?, usiseme tu maajabu bila kuchukulia hali halisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaa kabisa
 
Ndugu mwanamke sio ugopa na wala usije ukamuamini hata siku moja. Swali kwann kipindi ukosawa kiuchumi haya yasijitokeze? Hawa viumbe ndugu wakishakuzidi kipato kidogo tyu dharau hujijenga na sio kwamba ni huyo wako tu

Ni wanawake wote ndugu. Sasa kama huo mchango sio yy ndo kachanga kuna limchepuko lake ndo linalotoa hela wakutane humo wavinjari. Sasa kama ww unataka pia mtumie hela ya jamaa atoe double [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila siku akienda kwenye party nawe ingia kijanja mfuatilie...
Utapata

Pressure

Sukari

Stroke

AFU UNAKUFA

tunakusahau

Ushauri akienda party nenda bar kunywa choma nyama tafuta mtt mkali mgegede mkutane saa10
Mechi 1:1
 
Kaa chini zungumza nae jambo dogo hilo huenda anaona kuwa akichangia double na ukashindwa kushiriki ni hasara
 
Mimi nitamuuliza na anipe jibu la kueleweka vinginevyo patachimbika.

My point is: umeona kuna tofauti basi kaa chini na mwenzio myaongee na weka wazi kama hujapenda anachokifanya, nadhani mtayamaliza.

Binafsi sioni kama hilo ni tatizo kubwa lakukushinda hadi uombe ushauri jf
 
Hilo sio fundisho, hiyo kanuni haipo kihalisia bali zaweza kuwa ni hisia zako tu, una mtu kule india ameishi na mkewe kwa muda wa miaka 100 sasa, hizo hesabu zako zinagawanyikaje kwenye hiyo ndoa, ukiamini hizo formula zako ni hatari sana
 
Ndio pale mtu anapokuja kumwagwa ana miaka 66 akale ugali wa shikamoo Kwa kaka yake, Ndio ukimwagwa raia wanaanza kusema ina maana leo Ndio kamjua weakness zake? Kumbe hawajui
 
Ubavu, hata kama hujaoa lakini umeongea points za mashiko sana zaidi hata ya hao ambao wameoa au kuolewa, nakupa Big up hakika una weza kujieleza kwa vina
 
Asee kwa umri huo wa ndoa sioni tatizo la wewe kukaa nae na kumweleza.

Kanda ya ziwa tuna namna zetu za kuongea mambo haya.

Humu ndani utashangaa unapewa ishauri na mtoto mdogo mwenye umri chini ya ndoa yako.
Shule zimefungwa ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…