Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
- Thread starter
-
- #21
Hii ndio hupelekea wanaume wengi kuonekana Madikteta kwa wenza wao, kwa sababu mimi sioni ni kwanini nianzishe mazungumzo eti kumbembeleza aache tabia hiyo, sana sana nitakachokifanya next time ni kumzuia kwenda kwenye sherehe ambayo atakuwa amechangia single bila kuni consult ili ajue kwamba huo sio utaratibu wa kistaarabu, naamini hata akiwaambia marafiki zake wenye hekima watamwambia ulikosea, then atajifunza from there, naamini itatokea hafla nyingine soon.Ongea na mwenzio
Somo la Isha litakua limemsumbua haha ,binafs nimeshindwa kusomaHabari yako ina nukta moja tuu.
Kwa sisi ambao pumzi zetu ni ndogo tunakwama.
Nikusomee kwa voice note ?Habari yako ina nukta moja tuu.
Kwa sisi ambao pumzi zetu ni ndogo tunakwama.
Sawa sawaHii ndio hupelekea wanaume wengi kuonekana Madikteta kwa wenza wao, kwa sababu mimi sioni ni kwanini nianzishe mazungumzo eti kumbembeleza aache tabia hiyo, sana sana nitakachokifanya next time ni kumzuia kwenda kwenye sherehe ambayo atakuwa amechangia single bila kuni consult ili ajue kwamba huo sio utaratibu wa kistaarabu, naamini hata akiwaambia marafiki zake wenye hekima watamwambia ulikosea, then atajifunza from there, naamini itatokea hafla nyingine soon.
Pamoja mkuu.Pole kwa kutokweka Nukta, kwa kweli nilikuwa na hasira zinazotokana na stress, nisamehe bure kasha utoe neno lako kwenye mada
Yaah unahisi kwamba pumzi itakatika.Somo la Isha litakua limemsumbua haha ,binafs nimeshindwa kusoma
Sure!!! Nitashukuru mkuu.Nikusomee kwa voice note ?
Miaka 23 ya ndoa?naomba uzungumze nae ,vunja ukimya Mzee Wenda ataelewaJe huyu anakuwa na sifa za kuendelea kuitwa mke wa mtu ?, na kama SIO, nini cha kufanya.
Kwani kumshirikisha kitu mwenza wako ni kwamba unakuwa hujui nini cha kufanya? Mimi nilidhani kwa vile ni mwili mmoja kwa hiyo mnafanya kwa umoja na kitu chochote kinachofanyika kinatakiwa kipate baraka za ninyi wote wawili, kumbe nilikuwa nawaza tofauti.Kama mlianza maisha miaka 23 iliyopita, bila shaka amekuconsult vya kutosha kiasi na yeye sasa anaweza kufanya maamuzi bila kushauriwa.
Katika umri huu sitegemei mwanaume kunishauri kila jambo kama nilivyokuwa kwenye 20s, 30s na early 40s.
Kama nitakuwa sijajifunza miaka yote hiyo hata huyp mume inabidi anishangae. Unless nahitaji ushauri mpya, yes nitataka ushauri.
Kosa pesa ujue tabia ya mkeo au mumeo pole mkuu kwa changamoto unazopitia
Hahaha ndio inavyokuwaga hivyoNa mwanaume pata pesa tujue tabia yako. Samahani haihusiani na mada ila nimejisikia tu kubalansi
Zamani kulikuwa na kamsemo wanasema 'Usione soo, sema nae'Ongea na mwenzio
Kantwe, naamini sahihi, tatizo kubwa wanawake ile kuona unamtaka akushirikishe kwa kila jambo wao hushauriana kwamba huko ni kunyimwa uhuru/kunyanyaswa, ndio maana wale ambao hawajaolewa huwaaminisha wenzao kwamba kuolewa ni utumwa, yaani wanapenda wawe huru kiasi cha kufanya jambo lolote watakavyo hapo ndio wanafurahi,Kwani kumshirikisha kitu mwenza wako ni kwamba unakuwa hujui nini cha kufanya? Mimi nilidhani kwa vile ni mwili mmoja kwa hiyo mnafanya kwa umoja na kitu chochote kinachofanyika kinatakiwa kipate baraka za ninyi wote wawili, kumbe nilikuwa nawaza tofauti.
Tambua kwamba wala huwa sijali saana mambo hayo na sio kwamba nimeumia, nilijua baadhi watadhani hivyo, kinachonikera mimi ni kuona mwanamke anaona yuko sawa kwenda kwenye sherehe peke yake na wakati wanaomuona huko wanajua ameolewa,na hii ni tabia mbovu tu mimi siwezi kwenda kwenye sherehe peke yangu kwani naamini inanivunjia heshima, watu wanao nifahamu wakiniona peke yangu lazima wajiulize na mimi ni mtu naheshimika sana hapa mtaani, naona kama yeye hana mshipawa aibuMkuu kwa maelezo yako inaonyesha kilichokukwaza ni kutopata fursa ya kuhudhuria sherehe,nakushauri ongea na mkeo na muulize kwa nini anachukua single? Pia jaribu kumpa Uhuru hususani mnapokuwa kwenye ukumbi,akitaka kucheza mruhusu,kama anatumia maji ya ilala mwache afurahi,,ukiweka masharti magumu utabaki home kila sherehe
Tambua kwamba wala huwa sijali saana mambo hayo na sio kwamba nimeumia, nilijua baadhi watadhani hivyo, kinachonikera mimi ni kuona mwanamke anaona yuko sawa kwenda kwenye sherehe peke yake na wakati wanaomuona huko wanajua ameolewa,na hii ni tabia mbovu tu mimi siwezi kwenda kwenye sherehe peke yangu kwani naamini inanivunjia heshima, watu wanao nifahamu wakiniona peke yangu lazima wajiulize na mimi ni mtu naheshimika sana hapa mtaani, naona kama yeye hana mshipawa aibu
Nilimaanisha kwamba hata kama umekaa na mtu (mke na mume) miaka 50, huwezi sema kwamba huitaji ushauri kutoka kwa mwenza wako maana sasa unajiweza, mwanamke au mwanamke usiyehitaji kushauriana na mwenzako katika masuala yenu kwa sababu tu eti mmekaa muda mrefu sasa kila mtu anaweza kujiamulia tu, sio kweli na sio sahihi, ni ubinafsi tu uliotakona na ushauri mbaya ulioupata nje ya nyumba yenu.Johng, maelezo yako mazuri lakini yamevaa Koti, jaribu kudadavua ulicholenga kuongea ili tuelewane vizuri
Nilimaanisha kwamba hata kama umekaa na mtu (mke na mume) miaka 50, huwezi sema kwamba huitaji ushauri kutoka kwa mwenza wako maana sasa unajiweza, mwanamke au mwanamke usiyehitaji kushauriana na mwenzako katika masuala yenu kwa sababu tu eti mmekaa muda mrefu sasa kila mtu anaweza kujiamulia tu, sio kweli na sio sahihi, ni ubinafsi tu uliotakona na ushauri mbaya ulioupata nje ya nyumba yenu.
Fanyia kazi kila unachoshauriwa na mwisho wa siku fanya maamuzi sahihi, maamuzi ya ubinafsi hayajawahi kuwa sahihi!
Ni hayo tu mkuu.
Hufai kuolewa we ndo ile type ya wanawake wanajifanya much know . Epuka mke akakuzidi maarifa na utambuzi wa baadhi ya vitu ni sawa na mwanafunzi kujua mengi kabla ya mwalimu anayemfundisha. Kwa lugha nyingine inamaana atamdharau mwalimu wake . Mwanamke gani asiyesikia ushauri kwa mumewo! Nini maana ya mm kukuowa na kutoa mahari.Kama mlianza maisha miaka 23 iliyopita, bila shaka amekuconsult vya kutosha kiasi na yeye sasa anaweza kufanya maamuzi bila kushauriwa.
Katika umri huu sitegemei mwanaume kunishauri kila jambo kama nilivyokuwa kwenye 20s, 30s na early 40s.
Kama nitakuwa sijajifunza miaka yote hiyo hata huyp mume inabidi anishangae. Unless nahitaji ushauri mpya, yes nitataka ushauri.