Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
itakua kuna kibe10 kinamsaidia hahaKama mlianza maisha miaka 23 iliyopita, bila shaka amekuconsult vya kutosha kiasi na yeye sasa anaweza kufanya maamuzi bila kushauriwa.
Katika umri huu sitegemei mwanaume kunishauri kila jambo kama nilivyokuwa kwenye 20s, 30s na early 40s.
Kama nitakuwa sijajifunza miaka yote hiyo hata huyp mume inabidi anishangae. Unless nahitaji ushauri mpya, yes nitataka ushauri.
Hayo ya kiben10 ni dhana ya mtu asiejiamini au asieaminika au control freak!itakua kuna kibe10 kinamsaidia haha
mazoea ndo apo yana tabu kama walizoeshana hivyo alafu ghafla yatokee mabadiliko ndo hapo itamchukua muda kuyakabiriHayo ya kiben10 ni dhana ya mtu asiejiamini au asieaminika au control freak!
Miaka 23 ya ndoa bado unataka mtu akuombe ushauri au ruhusa? Sana sana ni kutoa taarifa kukujuza yafuatayo au yatokanayo.
Ajikaze tu, hakuna jinsi. Atazoea. 😂mazoea ndo apo yana tabu kama walizoeshana hivyo alafu ghafla yatokee mabadiliko ndo hapo itamchukua muda kuyakabiri
nayakumbuka maneno ya mkapa 2015 wakati wa kampeni pale jangwani.
Pole kwa kutokweka Nukta, kwa kweli nilikuwa na hasira zinazotokana na stress, nisamehe bure kasha utoe neno lako kwenye madaHabari yako ina nukta moja tuu.
Kwa sisi ambao pumzi zetu ni ndogo tunakwama.
Sio lengo langu kusema eti nimuache hapana, nimeweka hapa ili kujua yawezekana kuna mtu mwingine amewahi kufanyiwa haya anaweza kuniambia alirekebishaje, Itoshe tu kusema unaweza ukaona kwamba ni vitu vidogo vidogo lakini kwangu nahisi ni tatizo la kimaadili, binafsi sipendi mtu anaefanya mambo bila utaratibu, hili linaweza kuwa tatizo langu peke yanguMiaka 23 ya ndoa ya ndoa na bado wajiuliza kama bado anafaa kua Mke? Na kama utapewa jibu hafai utamuacha kisa kufanya vitu vyake mwenyewe...hauko serious mkuu
Vitu vidogovidogo visikufanye upoteze imani kwa mkeo..unaona anachofanya hakikufurahishi ongea nae..huenda kuna kipindi ulianza hako katabia na yeye sasa anaamua kulipiza
Asante In HaMiaka 23 ..hiyo mshakaribia hadi kufanana...ndoa ni mazungumzo ongea na mwenzako mambo yaende sawa.
Kujifunza hakuishi, kushauriana hakuishi na kama nyie ni mwili mmoja lazima mshauriane kwa kila jambo, ila suala la maamuzi baada ushauri ni jambo lingine na tena ndilo zito na muhimu kuzingatia, maamuzi yenye faida lazima yawe "RATIONAL" (minimum risk) ,vinginevyo itakuwa ni jeuri tu (hii ni kwa wote, mwanaume/mwanamke).Kama mlianza maisha miaka 23 iliyopita, bila shaka amekuconsult vya kutosha kiasi na yeye sasa anaweza kufanya maamuzi bila kushauriwa.
Katika umri huu sitegemei mwanaume kunishauri kila jambo kama nilivyokuwa kwenye 20s, 30s na early 40s.
Kama nitakuwa sijajifunza miaka yote hiyo hata huyp mume inabidi anishangae. Unless nahitaji ushauri mpya, yes nitataka ushauri.
Ongea na mwenzioSio lengo langu kusema eti nimuache hapana, nimeweka hapa ili kujua yawezekana kuna mtu mwingine amewahi kufanyiwa haya anaweza kuniambia alirekebishaje, Itoshe tu kusema unaweza ukaona kwamba ni vitu vidogo vidogo lakini kwangu nahisi ni tatizo la kimaadili, binafsi sipendi mtu anaefanya mambo bila utaratibu, hili linaweza kuwa tatizo langu peke yangu
Johng, maelezo yako mazuri lakini yamevaa Koti, jaribu kudadavua ulicholenga kuongea ili tuelewane vizuriKujifunza hakuishi, kushauriana hakuishi na kama nyie ni mwili mmoja lazima mshauriane kwa kila jambo, ila suala la maamuzi baada ushauri ni jambo lingine na tena ndilo zito na muhimu kuzingatia, maamuzi yenye faida lazima yawe "RATIONAL" (minimum risk) ,vinginevyo itakuwa ni jeuri tu (hii ni kwa wote, mwanaume/mwanamke).