Tabia za wanawake wa Kimanyema mapenzini

Kwa bed wako njema,kwa ndumba wako vizuri na wana mdomo ajabu rrahmaan.
Mwanamke wa kimanyema akiamua kukuchamba utajuta!

naomba nipate majina kama matano hivi ya wanawake wa kimanyema tafadhali!
 
hahahaa!! no!

napenda kucheka sometimes... nataka majina real ....! kama ni bhoke mwita ama nyankwe nijue.

Ya asili kule interior siyajui ila mabint ninaowafahamu wana majina ya kukopa kwa wazungu na waarabu tu.
Kuna Majani,Madina,Nasra,Annie,Shila nafikiri yamefika ma5
 
inawezekana kwa mashepu yao ndo maana watu walikuwa wanahonga majumba..
maanake si mchezo ...

Ni wachache sana ndio walioongwa nyumba ile mitaa ya Kariakoo, wengi walikuwa wanarithi nyumba za waume zao waliokuwa "wanakufa" mapema, sababu sasa ya hivyo vifo, hapo namwachia bi mkubwa FF ndio anaweza sema
 

....Asili ya neno Manyema ni 'wala nyama (za watu!)'....
na upo sahihi kabisa, WaManyema ni mjumuisho wa makabila madogo madogo ya wahamiaji
kutoka Kongo Eneo ambalo pia linaitwa Manyema.

waha ni wachapakazi sana
wamanyema mamwinyi..maneno meengi

....Waha wamejaa TISS kule, i bet unaelewa ili uwe shushushu
unakuwa na sifa ya 'kuchongea' wenzio...

mi mnyamwezi..

...hehehe, Mtani upo proud mwenyewe na kabila lako,
unajua pamoja ana uasilia wangu wa 'Umanyema' pia mababu
waliweka makaazi pale Nzega....
 
Mbu itakua babu zetu wanajuana :shocked:...nzega ndipo waliweka kambi babu zangu pia wakitokea congo
 
waha ni wachapakazi sana
wamanyema mamwinyi..maneno meengi


Naunga mkono hoja! Wamanyema na wabwari wao kazi yao ni kupiga soga tu vijiweni wameathirika sana na umwinyi. Waha na wabembe ndiyo wanaosababisha kigoma iwepo.Nenda mashambani mpaka mashamba ya tumbaku Urambo uwaone hawa watu wanavyojituma.

Wamanyema ni rejects kutoka KONGO DRC na kama mnavyowajua wakongo wanavyopenda kujiweka juu huku hawana lolote, Msisahau msemo wa wahenga waliosema mjasili haachi asili, kuhamia kwao Tanganyika hakujawabadilisha uasilia wao.
 

hehehehe, sasa sote tukilima Wabembe na Waha watafanya nini?
Ile Biashara za Vitenge vya Wax ishakufa siku hizi reli ya kati.
 


ha haaa Mbu naona unawaponda waha kiaina hapa
hii ni kimanyema style kabisa lol..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
.....hehehh,....bila shaka!....
hebu pata uhondo wa nyumbani,...


ahahahahaaaaa....!!!!Mbu asante ndugu yangu...dah mambo ya MSONDO hayo kudadadeki..umenikumbusha mbaliiii...asante wangu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Hivi operation kimbunga imeisha eeeee,wote mliojitaja wa congo jiandaen kurud kwenu
 
Wamanyema tupo juu, mbona twajadiliwa sana, ao mna shaka na uraia wetu, Wazee wa kimanyema walifika hapa Tanzania Kabla ya uhuru na walipewa uraia na Baba wa taifa hili Mwalimu JK Nyerere.
 

Hatujakataa kwamba asili yetu ni Kongo, ila mababu zetu walifika hapa Tanzania kabla ya uhuru wa Tanganyika na kupewa uraia na baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere. Acha ukabila maana hautotufikisha popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…