usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
- Thread starter
-
- #81
Huwa namtumia nauli elfu 20 au 15 lkn sehemu anakotoka ni elfu moja Kwa bodaboda si ale hukohuko mm ni msela. Yaani hakuna siku aliyokuja bila kusema hajala hata ikiwa saa 12 jioni na hela umemtumia ya ziada, ananikwaza aaagh!!!!Sijakuelewa mtoa uzi, je, ukisha mnunulia chakula huwa anakudai chakula tena? Je anakula kupita kiwango cha binadamu wa kawaida? Je, suala lá kula ndo tatizo tu? Jiangalie sana ndugu unaweza usiwe mwanaume wa kawaida km unasumbuliwa na masuala madogo km kula wakati ni wajibu wako
Hajasema ni vibaya, ila ndo kila siku awe hajala? huyu binti ni mlafi na hajitambuiDuu! Mtu kusema hajala ni tabia mbaya! Kwa hiyo mkuu wewe ukimuhitaji anakuja na anakupa unachotaka ila wewe hutaki kumpa hata chakula akija kwako,badilika ndugu yangu.Wewe ni mwanaume na ni jukumu lako kumhudumia mpenzi wako baadhi ya shida zake.
Ndo kila cku jamani, ht mida ya lunch imeshapita...kwan kwao hali?Chipsi mayai 2,500 tu. . Mnunilie afurahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa ndio wanaume!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Me nakubaliana na ww, huyu anakwazaHuwa namtumia nauli elfu 20 au 15 lkn sehemu anakotoka ni elfu moja Kwa bodaboda si ale hukohuko mm ni msela. Yaani hakuna siku aliyokuja bila kusema hajala hata ikiwa saa 12 jioni na hela umemtumia ya ziada, ananikwaza aaagh!!!!
Ana Matatizo ya Njaa.Kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?
Mwandalie chakula ila mnakatana humohumoKwa nini baadhi ya wanawake wanatabia za ajabu Sana? Mimi Nina demu mmoja kila nikimuita tuonane anakuja kweli lakini lazima aseme hajala hata kama ni saa ngp atasema sijala dear, naomba ushauri mwanamke huyu anamatatizo gani?