Tatizo sio la mdada, tatizo lipo kwako,
Wenzio tunafanya hivi.geto tunaweka kila kitu yani zaga za diko diko zote, mixer gas iko full, kasoro mboga maana mboga zinaharibika
Nikipiga cm na akiwa free kuja basi natuma 15 au hata 20 inategemeana na tarehe maana baaz ya tarehe namtuma boda boda kwa mkopo
Kabla hajaondoka unamwambia pitia mboga kabisa au kitu unachopenda tule Leo ,
Ha ha haaa hapo utasikia Mimi nshakula au sina appetite wewe angalia tu ule nn, Mara muda mdogo sitoweza kupika na hadith kibao
Ila hii n kwa Voda fasta
Demu wangu wa malengo, kwanza namfata na lazma aje apike ,yan bora asinipe papuch lakini Nile chakula chake ,pia siimpi pesa bila sababu ya msingi eti kisa kaja, nampa pesa kulingana na mahitaji yake maana namjua vyema