KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.
Wanawake wakizifanya hazikukeri? Au wao hawachokonoi meno? Hawachokonoi masikio? Hawatoi nguo ikiingia fyonto?
Duuuh!! Namba 6 na 9 nakuunga mkono 100%. Mimi ni mwanaume, and it is undeniable fact kwamba nionapo kalio bora lazima nishituke.
Ukiona msichana mzuri kapita wewe hujashituka jua ni *******!
Hiyo namba saba utakuwa hauko serious. Kuna makalio mengine yapo tepetepe sana ... lazima uyatupie.1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.
Karucee umefanya tu 'generalization' kwa wanaume ili kujifurahisha!
Lakini in most cases 'mijitabia mingi uliyoisema inafanywa na wanawake'...mfano No 1, 2, 3, 4, 4(umerudia mara mbili),5, 8, 9, 10 pengine hata 11!....
hii sensored language mbona inataka kule shida back to topic tena huwa wakiona hamna habari lazima apite karibu yenu mmuone vizuri wapi totoz za IFM...
i respect your perspective Snowball and the fact that you can express yourself without foaming