Ili atoe papuchi lazima azingatie sheria, kanuni na taratibu, kuwa makini mkuu
Wanapenda haki sawa sana hao watu, kwa ujumla ukimzingua anakuzingua, kwa hiyo kama wewe ni mzinguaji, jiandae kuzinguliwa na kuzinguana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... hapa ndipo atajuta sasaIli atoe papuchi lazima azingatie sheria, kanuni na taratibu, kuwa makini mkuu
Kwanza wanajiona, we sikia tu. Pili, kamwe hawakosei. Tatu, hakuulizi swali bila ya kujua jibu lake hata kama mpo chumbani faragha (yani kama yupo mahakamani akimhoji shahidi, kama vile ana cross-examining witness). Nne, wanazira/kununa upesi. Tano, wanajihisi wapo level ingine na watu wengine. Sita, kila siku wamechoka kwasababu walikua na kazi nyingi ofisini/mahakamani (hata kama walikua hawana cha kufanya). Saba, kila siku lazima akupe story za mashahidi/hakimu/wanasheria wenzake wanaavyo pambana kwenye case (hata kama hakua na case).
Vyote vitisho ujue huwezi kupata mtu anaejituma kama yeye, tunao mitaani/ofisini hao viumbe.
Sio wote lakini[emoji18]

My learned Sister!! your humble and down to earthHatuna shida kabisa sisi,.sanasana tunazingatia kifungu cha 69 (1) cha sheria ya ndoa iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010 ili kuendana sawa na hali halisi ya kimahusiano..
AwwπππMy learned Sister!! your humble and down to earth
Keep the spirit...mpo wachache Wa hivyo.Awwπππ