Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
 
Kwanza wanajiona, we sikia tu. Pili, kamwe hawakosei. Tatu, hakuulizi swali bila ya kujua jibu lake hata kama mpo chumbani faragha (yani kama yupo mahakamani akimhoji shahidi, kama vile ana cross-examining witness). Nne, wanazira/kununa upesi. Tano, wanajihisi wapo level ingine na watu wengine. Sita, kila siku wamechoka kwasababu walikua na kazi nyingi ofisini/mahakamani (hata kama walikua hawana cha kufanya). Saba, kila siku lazima akupe story za mashahidi/hakimu/wanasheria wenzake wanaavyo pambana kwenye case (hata kama hakua na case).

Vyote vitisho ujue huwezi kupata mtu anaejituma kama yeye, tunao mitaani/ofisini hao viumbe.

Sio wote lakini
 
Wako sex kinoma noma..
Sema wanaona kama makao makuu ya Sheria wameyashililia wao Duuh
 
What I know ni kwamba ni watu fulani smart japo wana misimamo yao...

Kuna madam mmoja alinifundiaha sheria wakati nipo chuo aisee alikuwa very humble ila akicharuka mtajuta... Lakini all in all alikuwa very piece unless tuamue kumvuruga...
 
Kuna mtu anaye naona wanavyosumbuana japo hawajaoana sijui hata safari yao itakuwaje
Kwanza wanajiona, we sikia tu. Pili, kamwe hawakosei. Tatu, hakuulizi swali bila ya kujua jibu lake hata kama mpo chumbani faragha (yani kama yupo mahakamani akimhoji shahidi, kama vile ana cross-examining witness). Nne, wanazira/kununa upesi. Tano, wanajihisi wapo level ingine na watu wengine. Sita, kila siku wamechoka kwasababu walikua na kazi nyingi ofisini/mahakamani (hata kama walikua hawana cha kufanya). Saba, kila siku lazima akupe story za mashahidi/hakimu/wanasheria wenzake wanaavyo pambana kwenye case (hata kama hakua na case).

Vyote vitisho ujue huwezi kupata mtu anaejituma kama yeye, tunao mitaani/ofisini hao viumbe.

Sio wote lakini
 
Kwanza wanajiona, we sikia tu. Pili, kamwe hawakosei. Tatu, hakuulizi swali bila ya kujua jibu lake hata kama mpo chumbani faragha (yani kama yupo mahakamani akimhoji shahidi, kama vile ana cross-examining witness). Nne, wanazira/kununa upesi. Tano, wanajihisi wapo level ingine na watu wengine. Sita, kila siku wamechoka kwasababu walikua na kazi nyingi ofisini/mahakamani (hata kama walikua hawana cha kufanya). Saba, kila siku lazima akupe story za mashahidi/hakimu/wanasheria wenzake wanaavyo pambana kwenye case (hata kama hakua na case).

Vyote vitisho ujue huwezi kupata mtu anaejituma kama yeye, tunao mitaani/ofisini hao viumbe.

Sio wote lakini

Hahahaaaa! Hatari mkuu. Nitafikisha ujumbe
 
Binafsi nimepiga chini mmoja, Ingawa sio wote pasua kichwa
 
Back
Top Bottom