gwakipanga
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 794
- 638
wanawake wanaoandikia kushoto kwa mujibu wa tafiti hawafiki umri wa ukongwe hufariki mapema na huwaacha waume zao wanaweza fariki kuanzia 59-75 hawabebi mkongojo
Wakiwa wanalia jicho la kushoto pekee ndio hutoa machozi...
Mbona unanitisha jamani ina maana nnaweza nisifike uzeeni?
Aisee ni vichwa hatari
Kumbe na wewe unaandikia mkono wa kutawazia!!
Nani kasema
Wewe huyo.
Sijasema hivyo mimi
Mbona unakuwa mkali bana?
Wanatumia ubongo wa upande wa kulia i.e right hemisphere, kwani kuna peduncles za nerve zina-exchange kulia kushoto. Waliosoma neuro-anatomy wameelewa.
Si wanaoandikia kushoto huwa wakali sana au haujui?
Si wanaoandikia kushoto huwa wakali sana au haujui?
Si wanaoandikia kushoto huwa wakali sana au haujui?
Hahahaha!! Cc😡khantwe.
Haaaaahaaa! MWENDAKULIMA, Siwezi badili Avatar yangu, kwani hiyo ndiyo picha yangu mwenyewe, GOT ME NIGGA?Tafadhali badili avator mkuu. Inaonesha haina uhusiano na wewe ulivyo hata kidogo
tafiti zaonesha watu wa namna hii majority huwa ama vilaza sana au akili sana