15. Mkuu wa nchi kuwa na Tezi Dune
11.watoto wa mfalme kufanya watakacho kuiba watakavyo bila woga wala haya.
Kukopa hela za chama na kukataa kulipa pamoja na kuiba kuiba hela za kanisa bila kumuogopa mungu.Uongo, kiburi na jeuri
Kuandamana kijinga pasipo sababu ya msingi.11.watoto wa mfalme kufanya watakacho kuiba watakavyo bila woga wala haya.
Sure kama slaa alivyolia siku ile morogoro.Viongoz wakuu kulialia
Semeni yoote ila kwake huo ni upepo tu unapita na mambo yatatulia tuliii. Wenyewe wanapanga dili jingine
Duh basi CCM mmepitiliza yaani mnakopa hadi pesa za Chama, na kuiba pesa za Kanisa? Kweli nyie mmelaaniwa sasa. heri umesema mwenyewe aiseeeKukopa hela za chama na kukataa kulipa pamoja na kuiba kuiba hela za kanisa bila kumuogopa mungu.