Tabia za mzaliwa wa pili

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
Hupenda kujitegemea,ni mchapa kazi na hajishughulisha sana na attention ya wazazi maana anaamini attention yake iko kwa mzaliwa wa kwanza, hupenda sana kupendwa, akioa/kuolewa na mzaliwa wa kwanza ndoa huwa na migongano.
 
Mh utafiti wako umebase wazaliwa wangapi wapili?,pia mzaliwa Maana mie naye ni wapili ila sina hata moja hapo...kwenye suala la kuoa naamin inatokea kuwa na mgongano kutokana na mgawanyo wa majukumu!!mwanamke anakuwa namajukumu mengi nyumbani kwao kuliko mwanaume,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

ni sawa utafiti huu ni wa kisaikolojia kama huna tabia hizo ni miongoni mwa wachache, swala migogoro katika ndoa lina uhusiano mkubwa na nafasi ya uchaguzi mwenza au mke/mme, mfano mzaliwa wa kwanza akioa mzaliwa wa mwisho familia hiyo itakuwa vizuri na migogoro kuwa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…