Tabia za mwanamke wa kigogo

Tabia za mwanamke wa kigogo

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,327
Reaction score
8,185
Naomba kujuzwa mnaowajua vizuri wanawake wa kigogo wana tabia gani, mila na desturi zao
 
Unaoa kabila au unaoa mtu? Ila wanapenda kuchagua CCM
 
Wanapenda kuolewa na matajiri na wenye vyeo serikalini ndio maana waume zao wanaitwa vigogo kigogo mke wa kigogo wake za vigogo
 
Hawajipendi,wavumilivu akipenda kapenda hata umfanyie vituko gani usifikiri ataingia mitini labda uamue kumfukuza,ila kusaliti sio wagumu anaweza kuwachanganya marafiki zako na usijue kwakuwa wako loyal mpaka huwezi mdhania,wanyenyekevu,wagumu akiamua kufanya shughuli inayoleta maendeleo huwa hawakati tamaa hasa kwenye biashara,kilimo au ufugaji,pia wanapenda pombe...
 
Ukimwoa mgogo tarajia ukoo mzima kuhamia kwako, sio hard workers na pia wanapenda kuomba omba sana

Hili la kuomba limenikera hadi kuna mmoja nilipiga chini maana alikua king’ang’anizi balaa
 
Wanapenda Ngono sana, jitahidi kumkaza vizuri aridhike.
 
Hawana shida
Kila kabila halikosi dosari ndogondogo
 
Nipo kusoma sifa zao kwa niaba ya brother.
 
Back
Top Bottom