Tabia za members wa JF

Tabia za members wa JF

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Wana JF,

Kuna tabia tofauti tofauti humu JF, za Members!
Kama wewe ukiwa mdau wa JF, Members gani wanakuvutia kwa tabia zao nzuri. Na Members gani upendezewi na tabia zao!
Mimi binafsi Members wanaonivutia kwa tabia zao.
Katavi, Sweetlady, wewe je endeleaa

Avatar ya member inaruhusiwa??

Maana amini usiamini Chatu dume nakufahamu
sababu ya hio Avatar.. hua nakuangalia sikumalizi...

Utajuaje undani wa tabia ya mtu kwa kusoma na kuandika hapa jf...kama unaishi na mtu miezi6 bado hujaweza kujua tabia zake utawezaje kuijua ya aliyeko mbali nawe?hebu simplify mada yako twende sawia mjomba Chatu!

You can always read between the lines na utaelewa tabia zetu, binafsi kwa threads, posts, signatures na avatars huwa natengeneza picha ya mtu. Nilmefanya hivyo mara kibao na mwisho wa siku nimekutana na baadhi ya members wa hapa na kukuta kuwa nilikuwa sijakosea sana. Just click your intuition na utawaelewa tu ila yaweza kuwa ni kipaji cha intuition. Ni hayo tu!

Ahahaha! Mimi huwa napenda maneno yako na lugha unaoitumia pamoja na hiyo nikabu yako

Mkuu, Rweye angalia bandiko la mkuu Genekai, kaelezea vizuri sana jinsi ya kujua tabia za members humu Jf

You can always read between the lines na utaelewa tabia zetu, binafsi kwa threads, posts, signatures na avatars huwa natengeneza picha ya mtu. Nilmefanya hivyo mara kibao na mwisho wa siku nimekutana na baadhi ya members wa hapa na kukuta kuwa nilikuwa sijakosea sana. Just click your intuition na utawaelewa tu ila yaweza kuwa ni kipaji cha intuition. Ni hayo tu!

Mie nimekufa nimeoza juu yako :rapture:

Ahahaha! Mimi huwa napenda maneno yako na lugha unaoitumia pamoja na hiyo nikabu yako

ha ha ha... Chatu hapo kwenye blue... Kiswangilishi ndio hukufurahisha...lol utanifanya nikasome na Spanish pia....

loh...kutenda kosa si kosa, kosa kulirudia utakua umefanya makusudi!

Back
Top Bottom