Mkuu JF ni kongwe sio kama uifikiriavyo...Member since 2010.
Mzee baba unamiaka 9 JF.
Nikichukulia kua ulijua JF unamika 23 kwaiyo mpaka sasa unamiaka 32-35.
Basi tu kwakua Simu ni yako na bando nilako.
'A bad peace is better than a good quarrel '
Asikudanganye mtu. Wanawake wote wa mitandaoni wanauza uchi.

hahahha
Mkuu JF ni kongwe sio kama uifikiriavyo...
Kuna watu walikuwa na busara sana kipindi cha nyuma saivi sijui wako wapi
Ilikuwa ukiposti jambo hapa linapokelewa na kama ndo unahitaji ushauri utapewa ushauri wa kina sio kama saivi JF imejaa utani mwingi
Ilikuwa ukiingiaa jukwaa la siasa hadi mwenyewe utapenda hata kama haupendi siasa watu wanashuka madude hatari faya
Jukwaa la intelligentsia ndo usiseme
Asaivi JF naingia kuangalia updates tu za habari mpya lakini info konki kama zamani hamna tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulioanzia jambo forum tunaju umuhimu wake tatizo sasa hv vijana weng humu 18-30age wanasumbua wazee wao kwa bando LA chuoMkuu JF ni kongwe sio kama uifikiriavyo...
Kuna watu walikuwa na busara sana kipindi cha nyuma saivi sijui wako wapi
Ilikuwa ukiposti jambo hapa linapokelewa na kama ndo unahitaji ushauri utapewa ushauri wa kina sio kama saivi JF imejaa utani mwingi
Ilikuwa ukiingiaa jukwaa la siasa hadi mwenyewe utapenda hata kama haupendi siasa watu wanashuka madude hatari faya
Jukwaa la intelligentsia ndo usiseme
Asaivi JF naingia kuangalia updates tu za habari mpya lakini info konki kama zamani hamna tena
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaha kwahyo unamaansha mzee anapost utumbo, ingekua anacheza soka kwa umr huo tunamuita mzee wMember since 2010.
Mzee baba unamiaka 9 JF.
Nikichukulia kua ulijua JF unamika 23 kwaiyo mpaka sasa unamiaka 32-35.
Basi tu kwakua Simu ni yako na bando nilako.
'A bad peace is better than a good quarrel '
Uchi wa aina gani, maana kwa kikabila chao UCHI ni ASALIToa ushahidi kwa hili la sivyo waombe radhi.[emoji41][emoji41]