The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 530
Shida ya majibizano haya wengi wanaopinga juu ya ukeketaji humu ni hawa vijana wa juz na jana alafu mnakuja humu mnataka kutuaminisha vijana wazamani kwamba makabila yenu hamna ukeketaji ! Kaeni chini na wazee wenu mzungumze watawambia juu ya mambo ayo.
Shida ya majibizano haya wengi wanaopinga juu ya ukeketaji humu ni hawa vijana wa juz na jana alafu mnakuja humu mnataka kutuaminisha vijana wazamani kwamba makabila yenu hamna ukeketaji ! Kaeni chini na wazee wenu mzungumze watawambia juu ya mambo ayo.
Daah...Maashallah, sasa hapa hata ukitoa ng'ombe 1000 kuna tatizo gani?
Mama ya kisukuma ikipita kitaani.PICHA NI MUHIMU KULIKO HIIESSAY.
Hakuna tatizo,wewe tu kujipimiaDaah...Maashallah, sasa hapa hata ukitoa ng'ombe 1000 kuna tatizo gani?
Ooooh, kumbe ni nature ya kabila I never knew before but I used to ask myself why do I have such a loving, caring, glittering love to one whom I love! Kumbe siri ni kabila-safi sana.Mmmh huyo uliekutana nae wa wapi!! Kiukweli wasukuma wanapendwa na wasichana wa makabila mengine kwa upole na kujali kwao, pia they know how to climb up with ladies though some may not be good, but many of them are good and they've big*** for ladies.
Tatizo wazawa wa hapo full uswahiliMakabila yote yakija dar yana badili tabia
Hao wanyatunzu wenye nyodo ni wanawake tu au na wanaume?[/QUOTE
Iko hivi: hao wenye nyodo kama mnavoita wenyewe inategemea umemfanya nini, kiufupi anafungua mlango kulingana na jinsi ulivobisha hodi! ,ukija kistaarabu anakupokea kistaarabu ila Ukijitoa ufaham utajuta kumfaham hawajui kabisa kukopesha anakufanyia izo nyodo ukiwa unaona laivu,hautasimuliwa! Baba yangu msukuma wa mwanza ila mama ni mnyantuzu wa bariadi huko kwa kina chenge! Nikiwa hom Mara nyingi nikitaka kufurahi namtibua tu kwa makusudi weeeee hua nacheka sana! Ila wanapenda sana utani, kiasi kwamba usipokua makini unaeza kupigana kumbe ni utani tu!
Ooooh, kumbe ni nature ya kabila I never knew before but I used to ask myself why do I have such a loving, caring, glittering love to one whom I love! Kumbe siri ni kabila-safi sana.
Tahadhari tafadhari
Kuna wajinga flani hivi usije ukawaiga! Wao wakipendwa sana hivo basi wanaota kibri ( kiburi) na kuona anaweza kum-drive mpenzi wake anavotaka yeye! Wasukuma hawajui kuacha kirahisi ( To break up ) ila siku akikuaacha ndo nitolee!
Hata wanaume wako hivyo?
He heee kumbe NdiomanaYeah hiyo ni kwa wote wanaume na wanawake! Ukiwa mstaarabu utafurahi mwenyewe wanapenda sana utani! Ila ukijiona we ni wa thamani sana utaipenda maana wao ni wa ghari sana mfano wake sijawai uona duniani! Labda huko mbinguni [emoji12][emoji12][emoji12]
Mama ya kisukuma ikipita kitaani.View attachment 349016
He heee kumbe Ndiomana
Hapana,nimependa tu hayo uliyosema coz shemeji yako ni wa hukoVipi yalishakukuta nn bibie?
Wewe si unae mmachame ndio mana unajuwa sifa hizo hongera zakoAsikwambie mtu machame ndo wenye hizo sifa sio waskuma
Mmmh mpeleke na wako akakatwe ili asiwashwe maana hao umesema wazur kuliko hawa walokuwa naeHao ndo wazuri hawawashwi ovyo km wenye navyo
Itabidi nikufungulie turbo mrembo 😍Asante sana mkuu kwa kutambua uwepo wetu!!