Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Magufuli yeye aliigeuza chato kuwa IKULU na Kuna siku aliwaapisha mawaziri pale nyumbani kwake alipo zikwa tukahoji tukaambiwa bwana IKULU ya Dsm ni NZITO mno unaitaji kusafishwa.
Baadae tukaambiwa Paulo Makonda alipeleka wazee WA kisukuma wakapasafisha Sina hakika nisamehee Makonda.
Sasa ni mara ya pili Samia tangu ale kiapo Muda mwingi yupo zanzibari najiuliza na yeye IKULU ya Dodoma Ina shida Gani?
Ile IKULU ni mpya kabisa Haina tatzo zanzibari WAFATA. Nini?
Sikuwai kumwona Nyerere aliigeuza butihama kuwa IKULU,Wala Mwinyi, hata mkapa, Tena mkapa hata kwenda kwao alikuwa haendi mara Kwa mara ndio maana hata BARABARA alishindwa kuijenga
Nilimshuhudia Jakaya kila ijumaa lazima aende Msoga ila sio kwa SHUGHULI za IKULU.
Sasa mama Samia hii tabia ya Magufuli ya Nini?