Tabia za kijamii zinazoweza kuongeza maambukizi ya Covid-19

Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
1,789
2,906
Habari za sikukuu,

Naamini mnaendelea vyema katika kuienga nchi yetu pendwa na pekee, wakati mkichukua tahadhari ya huyu Mgeni wetu aliye na meno kama simba.

Hebu turushie nyavu kwenye lengo.

Kuna tabia mbalimbali za kijamii ambazo zinaweza kuongeza maambukizi au idadi ya vifo vya CODIV 19, hebu tugusie bahadhi.

1. Tabia ya kuleta wageni nyumbani: Hii nahisi itakuwa ndo njia kuu ya kutuambukiza Waafrika hususani TANZANIA kama bahati mbaya akawa mgonjwa, kuna uwezekano wa kuingiza maambukizi nyumbani, nashauri hebu tuiache mara moja.

2. Tabia za kuruhusu watoto wetu kucheza na watoto wa jirani au yoyote yule ambaye si wa nyumba moja.

3. Tabia ya ku-share vitanda, mito, hata makochi. Ingawa ukweli mchungu lakini tupunguze hususani kwa watu hambao hawashindi nyumbani.

4. Kula vitu barabarani kwa watoto na watu wazima. Nafikiri mnafahamu maambukizi yanaenezwa kupitia milango ya fahamu kama macho, masikio, pua na sanasana midomo. Kama unahishi gheto anza kupika.

5.Tabia ya kuchangia vifaa kwa mfano mataulo, nguo na n.k

6. Tabia ya kurudia masks, masks zisipo valiwa Kwa Maelekezo yaliyowekwa na watoaji huduma basi kinaweza kuwa chanzo cha maambukizi.

7. Kushikana mikono, kupeana tano na salamu zote zinazohusisha bodies contact

8. Zinaa ya aina yoyote. Kama tujuavyo virus vinakaa kwenye majimaji ya mgonjwa. Ukifanya zinaa unajiweka kwenye hatari hata kama ni mwanandoa mwenzako, au mpenzi hasa kama wote au mmoja kati yenu hashindi nyumbani, wakati wa tendo lazima uvute hewa na kuitoa kwa kasi ili uweke msawazo wa nishati inayozalishwa kutokana na oxygen, na hewa chafu co2 inayotoka.

9. Kuvuta sigara, bangi kwa mtindo wa kugongeana. Ulevi wowote unaweza kujikuta umekanyaga waya bila kupenda, huwezi kuchukua tahadhali ukiwa mlevi.

10. Out zote zisizo za lazima, hata za lazima pia

11. Vigodoro, ngoma, sherehe za aina yoyote , mikutano yote, vikoba na mikutano yake

12. Kutokunawa baada ya kushika pesa , nafahamu mnajua virus havifi kirahisi kwenye karatasi na tusipo kuwa waangakifu fedha zitatuambukiza sana.- Electronic money ni nyia sahihi

13. Ku-share sahani wakati wa kula

14. Kutonawa na sabuni hasa zenye alcohol.

15. Kutokuwa waangalifu wakati tunatumia au kuleta vitu mbalimbali majumbani mfano maboksi ya thamani, matunda (usile tunda bila kumenywa), nguo mpya hasa za kusagula (zilizonunuliwa kwa mifumo ya kimachinga, minada)

16. Tabia ya kutokucheki afya

17. Tabia ya kujitoa ufahamu kuhisi Covid si kwa ajiri yako hvyo kutochukua tahadhari. Kumbuka ugonjwa haungalii sura, cheo, elimu au mali au hali ya kimasikini au kitajiri na pia haichagui dini.

Mwisho tupunguze hofu, ukiwa na hofu ni ugonjwa mbaya kuliko ugonjwa wenyewe, tuchukue tahadhali zilizo elekezwa na serikali.

Usiache kutupia tabia yako ambayo unahisi ni muhimu kuihasa jamii
 
Emar,

Vitasa vya milango mkuu. Sababu kila siku lazima uguse mlango zaidi ya mara moja..Inawezekana watu zaidi ya Milioni moja wakagusa milango ndani ya saa 1 na kati yao kuna uwezekano wa kuwepo hata mmoja mwenye maambukizi, MUNGU ATUSAIDIE.
 
Hilo nalo neno
 
Kwenye kupeana tano daah mungu atunusuru maana leo asubuhi tu watu kama watatu yaan ukimkataa anakumaindi

Yess bishoo hasWaaaa
 
Mkuu utakufa kizembe , bora ufe kishujaa kuliko kizembe kiasi hicho
Kwenye kupeana tano daah mungu atunusuru maana leo asubuhi tu watu kama watatu yaan ukimkataa anakumaindi

Yess bishoo hasWaaaa
 
Na wanaocheza haya makamari ya wachina ,Kila mtaa yamezagaa ,idadi inayolishika zile namba nikubwa
 
Habari za sikukuu,

Naamini mnaendelea vyema katika kuienga nchi yetu pendwa na pekee, wakati mkichukua tahadhari ya huyu Mgeni wetu aliye na meno kama simba.

Hebu turushie nyavu kwenye lengo.

Kuna tabia mbalimbali za kijamii ambazo zinaweza kuongeza maambukizi au idadi ya vifo vya CODIV 19, hebu tugusie bahadhi.

1. Tabia ya kuleta wageni nyumbani: Hii nahisi itakuwa ndo njia kuu ya kutuambukiza Waafrika hususani TANZANIA kama bahati mbaya akawa mgonjwa, kuna uwezekano wa kuingiza maambukizi nyumbani, nashauri hebu tuiache mara moja.

2. Tabia za kuruhusu watoto wetu kucheza na watoto wa jirani au yoyote yule ambaye si wa nyumba moja.

3. Tabia ya ku-share vitanda, mito, hata makochi. Ingawa ukweli mchungu lakini tupunguze hususani kwa watu hambao hawashindi nyumbani.

4. Kula vitu barabarani kwa watoto na watu wazima. Nafikiri mnafahamu maambukizi yanaenezwa kupitia milango ya fahamu kama macho, masikio, pua na sanasana midomo. Kama unahishi gheto anza kupika.

5.Tabia ya kuchangia vifaa kwa mfano mataulo, nguo na n.k

6. Tabia ya kurudia masks, masks zisipo valiwa Kwa Maelekezo yaliyowekwa na watoaji huduma basi kinaweza kuwa chanzo cha maambukizi.

7. Kushikana mikono, kupeana tano na salamu zote zinazohusisha bodies contact

8. Zinaa ya aina yoyote. Kama tujuavyo virus vinakaa kwenye majimaji ya mgonjwa. Ukifanya zinaa unajiweka kwenye hatari hata kama ni mwanandoa mwenzako, au mpenzi hasa kama wote au mmoja kati yenu hashindi nyumbani, wakati wa tendo lazima uvute hewa na kuitoa kwa kasi ili uweke msawazo wa nishati inayozalishwa kutokana na oxygen, na hewa chafu co2 inayotoka.

9. Kuvuta sigara, bangi kwa mtindo wa kugongeana. Ulevi wowote unaweza kujikuta umekanyaga waya bila kupenda, huwezi kuchukua tahadhali ukiwa mlevi.

10. Out zote zisizo za lazima, hata za lazima pia

11. Vigodoro, ngoma, sherehe za aina yoyote , mikutano yote, vikoba na mikutano yake

12. Kutokunawa baada ya kushika pesa , nafahamu mnajua virus havifi kirahisi kwenye karatasi na tusipo kuwa waangakifu fedha zitatuambukiza sana.- Electronic money ni nyia sahihi

13. Ku-share sahani wakati wa kula

14. Kutonawa na sabuni hasa zenye alcohol.

15. Kutokuwa waangalifu wakati tunatumia au kuleta vitu mbalimbali majumbani mfano maboksi ya thamani, matunda (usile tunda bila kumenywa), nguo mpya hasa za kusagula (zilizonunuliwa kwa mifumo ya kimachinga, minada)

16. Tabia ya kutokucheki afya

17. Tabia ya kujitoa ufahamu kuhisi Covid si kwa ajiri yako hvyo kutochukua tahadhari. Kumbuka ugonjwa haungalii sura, cheo, elimu au mali au hali ya kimasikini au kitajiri na pia haichagui dini.

Mwisho tupunguze hofu, ukiwa na hofu ni ugonjwa mbaya kuliko ugonjwa wenyewe, tuchukue tahadhali zilizo elekezwa na serikali.

Usiache kutupia tabia yako ambayo unahisi ni muhimu kuihasa jamii
Hili bango lingesambaa kwa kila mtu ingependeza sana.
 
Tusisahau saloon
 
Attachments

  • 92770375_653114051923807_3796404021946744832_n.jpg
    92770375_653114051923807_3796404021946744832_n.jpg
    30.4 KB · Views: 1
Kuna mamtu mengine mkiwa mnaongea lazima awe anakugusa kwa mikono pale ambapo anasisitiza pointi yake au anaona hauchukulii maanani anachozungumza au lingine limeshakuwa addicted linapoongea lazima likunyooshee mkono ili ulipe tano
 
Habari za sikukuu,

Naamini mnaendelea vyema katika kuienga nchi yetu pendwa na pekee, wakati mkichukua tahadhari ya huyu Mgeni wetu aliye na meno kama simba.

Hebu turushie nyavu kwenye lengo.

Kuna tabia mbalimbali za kijamii ambazo zinaweza kuongeza maambukizi au idadi ya vifo vya CODIV 19, hebu tugusie bahadhi.

1. Tabia ya kuleta wageni nyumbani: Hii nahisi itakuwa ndo njia kuu ya kutuambukiza Waafrika hususani TANZANIA kama bahati mbaya akawa mgonjwa, kuna uwezekano wa kuingiza maambukizi nyumbani, nashauri hebu tuiache mara moja.

2. Tabia za kuruhusu watoto wetu kucheza na watoto wa jirani au yoyote yule ambaye si wa nyumba moja.

3. Tabia ya ku-share vitanda, mito, hata makochi. Ingawa ukweli mchungu lakini tupunguze hususani kwa watu hambao hawashindi nyumbani.

4. Kula vitu barabarani kwa watoto na watu wazima. Nafikiri mnafahamu maambukizi yanaenezwa kupitia milango ya fahamu kama macho, masikio, pua na sanasana midomo. Kama unahishi gheto anza kupika.

5.Tabia ya kuchangia vifaa kwa mfano mataulo, nguo na n.k

6. Tabia ya kurudia masks, masks zisipo valiwa Kwa Maelekezo yaliyowekwa na watoaji huduma basi kinaweza kuwa chanzo cha maambukizi.

7. Kushikana mikono, kupeana tano na salamu zote zinazohusisha bodies contact

8. Zinaa ya aina yoyote. Kama tujuavyo virus vinakaa kwenye majimaji ya mgonjwa. Ukifanya zinaa unajiweka kwenye hatari hata kama ni mwanandoa mwenzako, au mpenzi hasa kama wote au mmoja kati yenu hashindi nyumbani, wakati wa tendo lazima uvute hewa na kuitoa kwa kasi ili uweke msawazo wa nishati inayozalishwa kutokana na oxygen, na hewa chafu co2 inayotoka.

9. Kuvuta sigara, bangi kwa mtindo wa kugongeana. Ulevi wowote unaweza kujikuta umekanyaga waya bila kupenda, huwezi kuchukua tahadhali ukiwa mlevi.

10. Out zote zisizo za lazima, hata za lazima pia

11. Vigodoro, ngoma, sherehe za aina yoyote , mikutano yote, vikoba na mikutano yake

12. Kutokunawa baada ya kushika pesa , nafahamu mnajua virus havifi kirahisi kwenye karatasi na tusipo kuwa waangakifu fedha zitatuambukiza sana.- Electronic money ni nyia sahihi

13. Ku-share sahani wakati wa kula

14. Kutonawa na sabuni hasa zenye alcohol.

15. Kutokuwa waangalifu wakati tunatumia au kuleta vitu mbalimbali majumbani mfano maboksi ya thamani, matunda (usile tunda bila kumenywa), nguo mpya hasa za kusagula (zilizonunuliwa kwa mifumo ya kimachinga, minada)

16. Tabia ya kutokucheki afya

17. Tabia ya kujitoa ufahamu kuhisi Covid si kwa ajiri yako hvyo kutochukua tahadhari. Kumbuka ugonjwa haungalii sura, cheo, elimu au mali au hali ya kimasikini au kitajiri na pia haichagui dini.

Mwisho tupunguze hofu, ukiwa na hofu ni ugonjwa mbaya kuliko ugonjwa wenyewe, tuchukue tahadhali zilizo elekezwa na serikali.

Usiache kutupia tabia yako ambayo unahisi ni muhimu kuihasa jamii
Tabia za kujumuika makanisani na misikitini, maharusini na misibani bila tahadhari za kuwekeana umbali na usafi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sahihi kabisa,%

Si njia rasmi, inaweza kuleta madhara kwa namba yaufungaji na utoaji, ikumbukwe hata balakoa kuna namna ya uvaaji na uvuaji.
Pia nazani uwezi badilisha vitambaa mara kwa mara na uwezi kujifunga kitambaa kwa muda mrefu
Hivi ukivaa kitambaa cha pamba kinazuia hawa wadudu?. Au mpaka barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom