Wamfukuze kwa kosa gani alilofanya? Kwani Evra sio black ni mzungu?? Kwa hy Terry nae akikutwa na kosa afukuzwe England?
Mwenzako anakipaji hata wamfukuze kesho hawezi kukosa timu ya kuchezea.
Af huyu Evra ndie aliyeikana Senegal na aka promise hawezi kurudi tena..
Tukiacha kasoro za evra huyu suarez ni hafai kabisa mpaka club yako wamekuja kujua kosa walilofanya kumunga mkono kwa kuomba msamaha wewe unaye mtetea unazo kweli timamu