Tabia za akina dada zinazonikera!!

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh!! Yalllah!! Heri ya mwaka mpya!!
 

Lala ure a star..... Gud gal safi nimeipenda ulivyo ijibu japo mm ni mwanaume sorry...
 

Asante mkuu!
 

hapo ktk red
 
Si kila mwanamke anastahili kua mke. Wengine haswa wanaoboa kama hao unawaonesha mji tu then unaendelea na wa type yako.
We unamchukua kahaba unamuweka ndani halafu unataka awe na tabia unazozipenda wewe. Poleni wenzangu kumbe huko mnakereka eeeeh?
 

25. Kuvaa night dress mchana kweupe!

26. Unakuta ana simu kali, but anaomba umrushie buku au jero. I hate mwanamke ombaomba.

27. Mmejuana leo, kesho anaanza kuku sendia invoice.....mara uncle anaumwa, mara saloon, mara ooooh! Hivi kabla ya kujuana na mimi......nani alikuwa ana cover expenses zako?

28. Baadhi ya wanawake kuamini wao ni sex objects na hakuna lyf bila kushinda saloon kujipodoa na kisha jioni kwenda mawindoni. Inasikutisha unakuta mwanamke na elimu yake nzuri hadi ya chuo kikuu lakini hajakombolewa kifikra.
 

hahahahahaaaaa daaaaaaaaaaaaaaah bandungu umenifurahisha haya nayo maneno mkuu
 

hii ni lugha gani??? Andika vitu vinavyoeleweka sio kuchanganya lugha!!
 
Halafu wengine mimaziwa imelala full kuipiga Tanganyika jeki. Mkorogo umedunda vidole kama mchimba kaburi.

Halafu first date then anaanza kuleta invoices bila aibu, si hata usubiri uliwe kidogo.

Huo sasa uonevu aiseee!
Yakitambaa mnayacheka . . . .mtu anaamua kujirekebishia bado tu hamkosi la kusema.
Khaa ebu waacheni watu kwa raha zao na maumbile yao na jeki zao pia.
 
Tracy nimekusoma!,
U actually mean that a fake relationship will exist if a woman's tendency to be screwed is directly proportional to the man's wallet existance
Au siyo??

and the viceversa is true
 
kimsingi we una akili sana, wewe ni Jembe .hii yenye rangi nyekundu nimeikubali zaidi. sidhani kama wanawake wote wangejitambua kama wewe wangem-turn off mwanaume yeyote, tatizo mko wachache. kimsingi sivutiwi na wanawake wanaoshoboka nakujishusha thamani zao hata kwa houseboy ndani ya nyumba. mwanamke lazima awe najeuri kidogo.
 
Yanawahusu madem coz wanatufanya kitega uchumi. Mtaungua oooooooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…