Tabia za akina dada zinazonikera!!

Kuna vitu baadhi ya wanaume huwa mnanishangaza sana kwakweli,
Hivi,if mwanzo wa hiyo relationship akili yako ilikua ni ya kupata sex tu,then why do you call her materialistic akitaka pesa?
Why is that unataka kupokea tu while hutoi?
kwangu mimi all the above ni kero kama you are not in a serious relationship,if you are then you can change these things..
I had a frnd who had tatizo na kinywa,she was my roomate chuoni/friend,.if mimi kama mtu baki ilikua inaniumiza i could imagine bf wake ilikuaje,it took me some guts kumwambia and even help her na kwenda hospital,kumbe alikua mgonjwa
sio kuwa ni low class,no way,she just didnt know what she had that irritated people..so kuna vitu kama binadamu unaeza judge watu sana and not knowing that its not there fault.changes begin with you.
i agree that kuna baadhi ya vitu kwenye list that watu wanafanya intentionally but not all.
 

mungu akubariki.kwani huwezi kumnyooshea mwenzio kidole 1.wakati vitatu vinakutazama ww.
 

Chukueni T.I.N # TRA muahalalishe business kabisaa tujue moja...sexy kila mtu anaenjoy ila mwanaume ndo anatakiwa
atoe gharama duh!!
 

tuko wangapi tulizana
 


25. Siku ya kwanza tu kukutana, anaanza kodi ya nyumba imekwisha, oooh mtungi wa gesi nao umeisha, inaboa sana.
 
courtesy,
You have basically not understood me kabisaa.
my point was;men and women are both materialistic in one way or the other,if a relationship iko based na hela or sex then mmoja asilaumu kwani its all a give take situation.
 

Hizi ni hasira za kuguswa na topic, hahaaa
 

Namba 20 na 11 ni zaidi ya kero
 
kweli wewe ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
  1. Kuna wamatumbi wanaohonga kuliko hao wazungu wenu.
  2. Wawadharau hao madent lakini shule ikiisha na mambo yao yakinyooka mnaanza kujibamiza.
  3. Kama wala fillet ama sushi haimaanishi kila mtu anapenda. Sio kwamba sipendi sushi or fillet sababu naogopa kula na uma. My etiquete manners are ok, na hata ukinialika dinner kula dinner White house na Joe biden sina wasiwasi.
  4. Fat/Curvy women sina mpango nao. Mambo yote vimbaumbau/petite.
  5. Kuachia ufa wazi ni dalili ya kuwa b.itch
  6. Mary Kay ndio one of hizo cheap foundations mnazojikandika. Nilitegemea unge-upgrade to Estee Lauder ama Clinique etc na sio Mary Kay
 

Mhhhhhh! Hizo nyekundu mwenyewe sizipendi!
 
ndio nikawa siwamind kabisa na hela yangu ngumu kutoka ndio mwisho kwahiyo siitaji hata utambulisho kutoka kwao
 
VUVUZELA, mzee wa Kissimmee vipi tena na hasira kwa hawa wenzetu mpaka unawatundikia uzi?
 
courtesy,
You have basically not understood me kabisaa.
my point was;men and women are both materialistic in one way or the other,if a relationship iko based na hela or sex then mmoja asilaumu kwani its all a give take situation.

Tracy nimekusoma!,
U actually mean that a fake relationship will exist if a woman's tendency to be screwed is directly proportional to the man's wallet existance
Au siyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…