Tabia za akina dada zinazonikera!!

Duh, kweli wazazi wetu ndiyo walifaidi mapenzi ya kweli...!!!! Ila uzuri ni kwamba afterall sote tunaishia Kaburini..! Mia then
 
Kutoa nyusi zoooote na kupaka mstari mweusi na wa ajabu na kubaki unaonekana kama shetani....!!!
 
Hivi ndugu yangu unachukia yoooote hayo kwa dada/mama zetu , nimebaki najiuliza kuna lipi sasa toka kwao linalokupendeza?
 
hapo mkuu umeua ,wengi sana watangukia hapo.wenyewe wameshazoea kuswaki na viwhitwdent au collgate zao fake au product fake za alovera asubuhi tu labda na wachache usiku basi......hili ni janga
 
Hivi ndugu yangu unachukia yoooote hayo kwa dada/mama zetu , nimebaki najiuliza kuna lipi sasa toka kwao linalokupendeza?
Yapo mengi na mazuri ya kupendeza zaidi ya hizo kero
 
Mheshimiwa VUVUZELA muongozo tafadhali

Hii public katika kifungu cha 4 inaishia wapi?

4. Kula kucha in the public.
 
Last edited by a moderator:
Unakuta mdada anakula mahindi ya kushoma nikimuomba pumba za kuku wangu ananifyonza hapo hapo ukimkaribisha ugali anasema alagi vyakula vigumu,,,kuhusu ma wigi kuna sisita du flani nilimtembelea ebanaeeee anakipilipli cha hatari kumbe yale ni makofia sikuja kwetu dada zangu wamebarikiwa unywele aisee sikujua kuna human hair madukani
 

Naomba utunge wimbo mie nakuja na midundo utoke na single moko .................!:becky:
 
na kwa taarifa yako hilo namba nne linahusika sana , hatuwezi kua kwenye mahusiano kibubububu bila malengo, ukitaka usiulizwe ndoa kadate na under 18

Umeona eeeh, siku hz tumestuka hatutaki tena mambo ya kupotezeana muda kwa mahusiano yasiyo na mwelekeo!!!!!!!
 
Niwie radhi mkuu lakini kwa hapa inaonyesha unaowadate ni wa daraja la namna filani..............:shut-mouth:!
panda kidogo utafute wanaojua mambo ili uepuke hivyo vi smart collection!
hahahahahaaaaaaaa



 
Imenilazimu kuweka desktop mode ili nkugongee like....PWENTI
 

namba 19.uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni mbaya sana ,inakera.hakuana kitu kinachovutia kwa mwanamke kama kuwa natural.LAKINI ukishapaka karooooooooooooo uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Niwie radhi mkuu lakini kwa hapa inaonyesha unaowadate ni wa daraja la namna filani..............:shut-mouth:!
panda kidogo utafute wanaojua mambo ili uepuke hivyo vi smart collection!
hahahahahaaaaaaaa

Hata nikishuka haisaidii. Wenzenu wanapiga invoice tactically sio kibwegebwege na carolite zenu macho unayajaza nyusi za kope kama kisebengo, miguu ina vigimbi kama mruka vihunzi. Invoice sio ishu Tatizo unalikuta demu bayaaaa ila linajifanya eti classic, kwenda zako na uclassic wako. Unapauliwa then unatoswa.
 
Kope za bandia is fcukin nasty,acheni wadada hasahasa wa mbagala,tmk etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…