Tabia za ajuza

Kweli ccm vimejaa viajuza ndiyo maana mambo hayakwendi yamegomaaa gomiii!
 
FACT...huyu kijana ana AKILI TIMAMU kitu ambacho kwa hali ilivyo ukiwa na akili timamu tu UNAONEKANA hufai au ADUI au threat na unaweza ukawa target na magege ya wahuni kwa KOSA LA KUWA NA AKILI TUMAMU

wenye uhuru ni machawa tu,kama yule she mwaipopo..mtu yeyote asiyekuwa chawa ana onekana kuwa ni ADUI.
 

Attachments

  • Screenshot_20260805-121838.jpg
    74 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260805-120733.jpg
    127.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…