Pole sana...ziwa likiwa limelala na hujanyonyesha bado ni mtihani
Wamekugusa hiviwe unaona je?
Kama ambavyo wewe umekwazika na hilo ujue hata thread yako ile uliyosema wanaume hawabebeki pia iliwakera watu maana uligeneralize hata wasiokuwamo,kisa mwanaume mmoja.Na wewe vumilia tu unapoona mtu anageneralize kitu kuhusu wanawake/mabinti.Usichopenda kufanyiwa uasiwafanyie wenzako.Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira
Mungu awabariki.
hatariPole sana...ziwa likiwa limelala na hujanyonyesha bado ni mtihani
sasa umeachia miguu ukazalishwa mitoto 3 now singo maza unalia lia.na hilo ziwa sasa dooh!..ndo utaisikia kwa alikiba.Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira
Mungu awabariki.