Hata YESU aliwafundisha wanafunzi wake kwa mifano.Tunaomba mfano wa hayo uyasemayo[emoji102]Hrb wana MMU?
Nawaandikia nyote kuwaeleza machache juu ya tabia zetu zinavyoweza kuathili thamani yetu jukwaani hapa na hata kwenye jamii yetu.
Kuna watu huwa wanadhani kujisifia kwa mambo yakijinga kutawanya waonekane wajanja kumbe wanajiondolea utu wao kbsa.
Tujaribuni kuwa wastaarabu vinginevyo tutakuwa vituko mbele ya jamii
Hrb wana MMU?
Nawaandikia nyote kuwaeleza machache juu ya tabia zetu zinavyoweza kuathili thamani yetu jukwaani hapa na hata kwenye jamii yetu.
Kuna watu huwa wanadhani kujisifia kwa mambo yakijinga kutawafanya waonekane wajanja kumbe wanajiondolea utu wao kbsa.
Tujaribuni kuwa wastaarabu vinginevyo tutakuwa vituko mbele ya jamii
Waongoza kwa Tabia za kujiafia ujinga ni wanaume , unakuta mtu anajisifia ujinga, et ukitaka kumpata mwanamke kirahisi nunua pesi muwekee panadol ili alewe, pia kuna wadada humu wanajiuza tena hawana hata hayaHata YESU aliwafundisha wanafunzi wake kwa mifano.Tunaomba mfano wa hayo uyasemayo[emoji102]
Unaona story tu kwasababu hata wewe ni mekugusa maana huchoki humo
Waongoza kwa Tabia za kujiafia ujinga ni wanaume , unakuta mtu anajisifia ujinga, et ukitaka kumpata mwanamke kirahisi nunua pesi muwekee panadol ili alewe, pia kuna wadada humu wanajiuza tena hawana hata haya
Wengi wao ndivyo walivyo huwezi pretend always
Hata ww hiyo tabia ya kuandika vitu bila mifano na vivid evidence ni mbaya, inakushusha hadhi hata katika jamii
No hata cjaguswa na ktk maisha yangu cnaga swagz za kujisifia hata kidogo, am a man of the peopleNaona nimekugusa ndugu! Dawa ni kubadirika tu mkuu