come on man! Nini maana ya jukwaa la mapenzi na urafiki?nini maana ya kuleta huu uzi?
Kwani hata ungekuwepo wakati wanatongozana ungeleta tofauti gani?
Stop being mean and negative dude! Life is too short to hate
MkuuSwts kungekuwa na uwezekano wa multiple like kama zile wanazoita multiple orgasm ningekupa zoote..Big up sana
Mada kama hizi ndo ustawi wa jukwaa letu
Kwenye Maandiko ya kitabu takatifu ..yanaonyesha mwanaume ndiye anapaswa kuwa kichwa cha familia na mmiliki mkuu wa familia
Sasa wewe kaa hapo ukisubiri miujiza ijitende
AMKA!!!!