Tabia ya wanawake kununa nuna bila sababu...

Dawa ya kununua kwa mwanamke....please mwombe game Mara kwa Mara ah ah ah mbona kununua kunaondoka kabisa,Maana kupitia game Kuna kuwa na intersive closeness ambayo hiyo hakuna kununu tena
 
Wanapenda kubembelezwa, kumsifia sifia na uchokozi. Kwa hiyo usimkasirikie ndo pozi lake hilo.

Jinsi ya kuiondoa hiyo hali.

1. Mwambie napenda kukuona una tabasamu, unapendeza sana nikiliona tabasamu lako.

2. Piga nae picha (selfie) mwambie smiiileee

3. Mletee zawadi kwa kumwambia nakuahidi ukinipa tabasamu nakuletea zawadi.

4. Mwambie maneno mazuri mazuri ya kumvutia na kumsifia uzuri wake. Kama kuna tabia hazipendi kutoka kwako sibadilishe ili afurahi

5. Mpigishe stori za vichekesho (uwe kama comedian), mtumie msg za vichekesho, angalia nae vipindi au muvi za vichekesho
Itabidi nijifunze taratibu..story ninazo sana ila sema siwezagi kumbembeleza
.akinuna naendelea na shughuli zangu!!
 
Wow! Nikifanyiwa hivi aki sinuni tenaa[emoji1] , uko vzr mkuu
 
Wakuu hakuna kitu kinanikera kama mtu kujinunisha pasipo sababu ya msingi...
Sasa huyu mke wangu mnaweza mkaamka asubuh vizur tu mnacheka ila baada ya muda atanuna tu hata ukimuongelesha hajibu....
Kiukweli huwa nakereka sana...
Ebu tupeane uzoefu wakuu hii tabia mnaikomesha vipi??
Unaweza dhani ananuna bila sababu ila amini kabisa ana sababu...
Kuna clip ngoja nijaribu kukutumia ikikubali utaelewa nini kinaendelea kwake.
 
Wangu huwa ananuna na hata ukimuulza hasemi mpk awe ktk mood nzur ndo anakuambia

Mwanzo nilikua nakwazika nakuona kama kero
Ila saa hz nmeshajifunza kuishi nae japo huwa nakereka akijinunisha lakni nahitahd kuthibiti temple yangu ili maisha yaendelee
 
It's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
Ukwel mtupu!
 
Wanapenda kubembelezwa, kumsifia sifia na uchokozi. Kwa hiyo usimkasirikie ndo pozi lake hilo.

Jinsi ya kuiondoa hiyo hali.

1. Mwambie napenda kukuona una tabasamu, unapendeza sana nikiliona tabasamu lako.

2. Piga nae picha (selfie) mwambie smiiileee

3. Mletee zawadi kwa kumwambia nakuahidi ukinipa tabasamu nakuletea zawadi.

4. Mwambie maneno mazuri mazuri ya kumvutia na kumsifia uzuri wake. Kama kuna tabia hazipendi kutoka kwako sibadilishe ili afurahi

5. Mpigishe stori za vichekesho (uwe kama comedian), mtumie msg za vichekesho, angalia nae vipindi au muvi za vichekesho
Huo muda wa kutekeleza yote haya halafu pesa unakwenda kutafuna saa ngapi? Ukimaliza hayo atakugeukia kuwa hamna misosi ndani au kutekeleza hayo ndio mtakuwa mmeshiba.
tapatalk_1537264219830.jpeg
 
Itabidi nijifunze taratibu..story ninazo sana ila sema siwezagi kumbembeleza
.akinuna naendelea na shughuli zangu!!
Hii ndio safi. Hata mimi biashara ya kubembeleza sina mkuu. Na ukiwa unayekeleza kila anachodemand ujue unajiweka kwenye hatari zaidi. Bora ajue hutabiriki.
 
Back
Top Bottom