Tabia ya wanaume kutelekeza watoto wao

Tabia ya wanaume kutelekeza watoto wao

Chokochoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2011
Posts
438
Reaction score
184
Hivi ni ukatili au tuuiteje?

Unakuta mwanaume amezaa na mtu watoto/mtoto kuwatunza hataki halafu Mwanamke ndio anaenyeka mwenyewe kulea halafu baadae yule mwanaume anakuja kujipendekeza watoto wangu hii imekaaje?

Mimi naona mwanaume akiamua kutelekeza mtoto hana tofauti yakusema ametupa watoto nanivyema kuwakuza wakiwa wanajua baba yao aliwatupa ili kujakupunguza story nyingi baadae wakikua.
 
Hao ndio wanaume....

Na hatuna sheria madhubuti za kuwabana
 
Ndivyo walivyo...wameumbwa hivyo hivyo...they will never change.
 
Chokochoko

Wanaume wasiojitambua, na wengi wao ujana umejaa akilini.
 
Last edited by a moderator:
Yani mfano initokee mimi i will never forgive him
Yaniii na siku ajilete kujifanya anamtaka mwanae naeza ua mtu aseee
Nyie wanaume nyie mnatufanya tuwe makatili
Shenzi kabisaaaa
 
Yani mfano initokee mimi i will never forgive him
Yaniii na siku ajilete kujifanya anamtaka mwanae naeza ua mtu aseee
Nyie wanaume nyie mnatufanya tuwe makatili
Shenzi kabisaaaa
Inawezakuwa ni haki yako kumchukia mwanamme wa aina hiyo lakini kumbuka watoto bado wanahitaji urafiki na baba yao bila kujali yaliyotokea nyuma (ni hulka ya binadamu kutaka kujitambulisha (identified) na baba yake kama ilivyo kwa mama).

Swala ni serikali inatakiwa itunge sheria za kuwalazimisha wazazi (awe mme ama mke) ambao hawaishi na watoto kuchangia gharama za kuwalea. Nchi nyingi duniani zinafanya hivyo, sijui kwa nini CCM miaka yote hiyo hawajaliona hilo!
 
Hamjui kwa nini hali hiyo hutokea.si kukimbia majukumu bali kero za mwanamke humfanya mwanaume akimbie tena wanawake wengine wakishajua kuwa umezaa nao ni wasumbufu sana mfano huo umenitokea mimi mwenyewe.

mwanangu nampenda ila mama yake ni matatizo ikabidi nikimbie ila matunzo kila kitu napeleka ingawa pia bado mpaka hapa kero hazijaisha bado,bado anasumbua juzi amesema anataka aende ustawi wa jamii sasa sijui ataenda kusema nini maana kama matunzo napeleka na kodi namlipia.

nimemuonya kuwa mshahara wangu ni mdogo sana kama wataenda najua kuwa kitakachofanyika ni kuangalia napata mshahara bei gani na yeye achukue bei,nahisi itakuwa vizuri akienda kwani hasara itakuwa kwake.maana mshahara wangu ni laki 250000 lakini mimi.humpaga kwa wiki sh 70000 usiulize hela natoa wapi mimi ni mchakalikaji
 
Hapa ukutu mama umejipindisha kumsomesha hadi akapata kazi, afu libaba inakuja ooh! Mwanangu waooo!! Bila hata aibu hajui mama alimfikishaje hadi akawa hinyo.
 
Nanyi mnachangia sana, check this out: Huyu binti nilikutana naye kipindi anasoma chuo then bila ya mimi kumseduce akawa amenikubali jinsi nilivyo, siku so nyingi nikapita nae, then nikasafiri kwa muda wa wiki 2, sasa niliporudi nikakuta marafiki zangu wote nilioishi nao geto (about 5) washampitia na hawanifichi na nilipomuuliza hakupinga...

Sasa after 2 months akagundulika ana mimba na ni mtoto wa profesa amabaye ni lecturer(huyo binti). Sasa mziki ukaanza kwamba mimba ni ya nani. Mda si mwingi jamaa mmoja kapachikiwa then na mimi nikaamini ni ya yule jamaa,

sasa miezi michache iliyopita mtoto kazaliwa na sijawahi kumwona, Juzi napigiwa simu na naona urafiki unaanza kujengwa upya, ila cha ajabu ananimbia mtoto ni copy yangu, yaani miezi 5 lakini mtoto anafanana na mimi,,

.... Sasa hapo jamani anadhani mimi nitakubali kiurahisi hivyo???? Sina ujasiri wa kumkataa mtoto maana naona ni baraka ila sasa kwa style hyo lazima nikae chini na kuwaza vya kutosha..
 
Mama na mwana kulea\kutunza no wajbu wangu kama mwanaume na kupata sifa za kuitwa baba lkn mrejesho n kwa ma yake
 
Mama na mwana kulea\kutunza no wajbu wangu kama mwanaume na kupata sifa za kuitwa baba lkn mrejesho n kwa ma yake

Unakuta mliishi pamoja mkajaliwa watoto namkawafurahia wote, sasa Leo hii mwanaume kapata Mwanamke mwingine bomba akakutosa nakukuachia watoto bado wadogo ukiwa huna kazi ndani ya maisha magumu, yeye akiwa nahela nikutanua na mabaybe hakukumbuki wala watoto hawakumbuki, finally uzeeni ananidai wanae
 
Wanawake wenyewe pia hawaelewekagi.
Wanawabambikia sana wanaume. Hilo unalisemaje?
 
Hamjui kwa nini hali hiyo hutokea.si kukimbia majukumu bali kero za mwanamke humfanya mwanaume akimbie tena wanawake wengine wakishajua kuwa umezaa nao ni wasumbufu sana mfano huo umenitokea mimi mwenyewe.mwanangu nampenda ila mama yake ni matatizo ikabidi nikimbie ila matunzo kila kitu napeleka ingawa pia bado mpaka hapa kero hazijaisha bado,bado anasumbua juzi amesema anataka aende ustawi wa jamii sasa sijui ataenda kusema nini maana kama matunzo napeleka na kodi namlipia.nimemuonya kuwa mshahara wangu ni mdogo sana kama wataenda najua kuwa kitakachofanyika ni kuangalia napata mshahara bei gani na yeye achukue bei,nahisi itakuwa vizuri akienda kwani hasara itakuwa kwake.maana mshahara wangu ni laki 250000 lakini mimi.humpaga kwa wiki sh 70000 usiulize hela natoa wapi mimi ni mchakalikaji

Ahahahahaaaaaaaaaa-mkuu kumbe hiki kitu tuko wengi,..mimi anahangaika mara huku mara kule nilishamwambia na kumuapia kamwe hatapata senti tano yangu maake kila kitu nafanya lakn ansema anataka kunikomoa sababu sijamuoa yeye.
Eti oooh,..dada yangu anafanya kazi ustawi wa jamii-nimemwambia nenda,...ila niko tayari kuacha kazi sio kumpa hela.
 
Huu ndiyo ukweli hakuna mwanaume anaeweza kumkimbia mwanae wa kumzaa ila wanawake wanasababisha hayo.mimi nimetoka kazini nimechoka unarudi home daily maneno .hata umfanyie nini anajifanya haoni
 
Dawa ni kumkimbia ingawa ukimkimbia itaonekana kama umemkimbia mtoto ingawa si kweli kama kwanza utakuta mtoto mwenyewe ana miezi sita bado mdogo umkimbie kwa nini anagarama gani?hapo wa kulaumiwa ni mama yake
 
Huu ndiyo ukweli hakuna mwanaume anaeweza kumkimbia mwanae wa kumzaa ila wanawake wanasababisha hayo.mimi nimetoka kazini nimechoka unarudi home daily maneno .hata umfanyie nini anajifanya haoni

Halafu wanaleta nyodo sana na hii kitu yao ustawi wa jamii,..eti kwani una-ushahidi wa hayo matumizi unayonipa..?....ujinga tu
 
Ukisema "wanaume" ni muhimu ku qualify ni wanaume fulani. Kuna wanaume wengine wanahudumia watoto wao na wa kufikia, wote sawa kama wao.
 
Back
Top Bottom