the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
Kama kusoma hujui nadhani picha utaweza kuielewa kuna watu unakuta walikuwa wanakula bata na kujirusha na lundo la madem ukifika muda wa kuoa anafanya ana ana do kachanika basto......... then anapata mke nadhani kitakachofuata ni mbwa kala mbwa nyumba inakuwa ka jehanam halafu wengine unakuta mke ndani ya nyumba anajua style moja tu nayo ni kifo cha mende ukijaribu kumtestisha blowjob,facial,scissors and other magnificent styles ugomv????? utasikia "unanifanya mi muhuni huwezi kunikunja hivyo" kesho faza anaona isiwe kesi anaenda kwa kidawa mpaka anafika goli la tatu style 10-15 zshatumika kwa mkewe ataishia kusuuza rungu kisela show yenyewe anaipata kwa kidawa hapo nawazungumzia wanaume wanawake sijui but nina uhakika lazima watachangiaMMU habari zenu!
Nianze na hili jambo ambalo linakua kwa kasi sana hapa mjini na kwingineko.
Wapenzi waliopo ndani ya ndoa, kumekua na tabia ya kuzi sariti ndoa zao hasa kipindi kama hiki ambacho hii tabia imeshamiri Je? hali hii inasababishwa;
-Wahusika kuto kulidhishina
-Walioana kwa bahati mbaya
-Ni mfumo mpya wa maisha
-Tamaa na kuporomoka kwa maadili ya ndoa.