Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
MMU habari zenu!
Nianze na hili jambo ambalo linakua kwa kasi sana hapa mjini na kwingineko.
Wapenzi waliopo ndani ya ndoa, kumekua na tabia ya kuzi sariti ndoa zao hasa kipindi kama hiki ambacho hii tabia imeshamiri Je? hali hii inasababishwa;
-Wahusika kuto kulidhishina
-Walioana kwa bahati mbaya
-Ni mfumo mpya wa maisha
-Tamaa na kuporomoka kwa maadili ya ndoa.